Recent content by frontpage

  1. frontpage

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

    Kama huwajui wakurya uliza ndugu. Wakurya ndio kabila pekee ambalo polisi anapigwa makofi kama mtoto akijichanganya. search youtube uone mifano,
  2. frontpage

    JamiiForums Tanzania Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Kilichoandikwa na Pascal Mayalla kuhusu waheshimiwa wabunge katika gazeti la Raia mwema ni ukweli wenye uchungu ndani yake. Na kitendo cha spika wa bunge kulifikisha jambo hilo bungeni ni kujidhihirisha madhaifu yao kiuhalisia. Maswali yangu ni haya. 1. Mara ngapi wamekuwa wakidhalilishwa na...
  3. frontpage

    JamiiForums Tanzania Dhana ya uongo kuhusu Spika Ndugai

    vidole vilivyosemwa ni vya mguuni, mbona mguu haujaonyeshwa? au ndo kusema mkoni wake ndio mguu???? acheni propoganda na hivyo.
  4. frontpage

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makanisani zaka zimepungua, zilikuwa zinatolewa na Mafisadi. Ahoji waraka kutotolewa Kibiti

    Lugha ya matamshi aliyotumia mkuu ya kusema " Hiiiiiiii!!!!! kwa tafrisi ni kwamba.... HAKUNA WA KUMTISHA AMA KUPINGANA NAYE KIVYOVYOTE. Hiyo Hiiiiiiii! hutumiwa kama tahadhari ya mwisho kwa msukuma kuonyesha amekarsirishwa na jambo ama mtu flani na yuko radhi hata kumpotezea uhai. Hiyo ni...
  5. frontpage

    JamiiForums Tanzania Hivi furaha ya maisha ni kumiliki gari na nyumba tu?

    Mkuu kiukweli wengi tuliwaza hivyo, ila kama furaha haimo ndani ya nyumba shida na maumivu ya moyo ni zaidi ya aliye nyumba ya kupanga chumba kimoja na hana kodi ya kulipa. Mko sawa kimsongo, sema tu pesa inakuweka maeneo ambayo si rahisi wengine kuhisi tatizo lililopo. Furaha hutokana na...
  6. frontpage

    JamiiForums Tanzania Anaolewa: All the best kipenz changu

    Ndo maisha hayo mkuu, na wako utakayekuja kuishi naye anadunda na mwengine.
  7. frontpage

    JamiiForums Tanzania Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    Wasizibwe midomo kuongea maana hata makanisani mapato yameshuka, hapa kanisani kwetu sadaka ilikuwa inafika 8 milioni, siku hizi ni 1.5 ama 2 milioni. Hali ni mbaya kiukweli.
  8. frontpage

    JamiiForums Tanzania Faida ya mauzo ya luku kwa mawakala kutoka 2.5 hadi 0.5

    Tulioshtuka mapema kutoka chanzo makini MANGE KIMAMBI tuliziuza mashine na kuweka fedha mfukoni, kiukweli kilichofanyika si sawa kabisa mliobakiwa nazo amueni kugomea kuzitumia wakanunue TANESCO. Huwezi ambiwa faida itoke 2.5% hadi 0.5 ujinga huo. Bora ukachome mahindi au uweke matuta ya mchicha...
  9. frontpage

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Moravian lamuunga mkono Rais Magufuli, lapuuza matamko na kuyaita ni malalamiko

    Subiri siku auawe mkewe au mtoto wake tuone kama atarudia kusema tuchape kazi. Hayajamfika, ni aibu kubwa kiongozi kushindwa kutambua maumivu ya binadamu wengine na kuropoka kauli za kinafiki.
  10. frontpage

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Wanaotoa habari nzito za kuwanusuru watu na mabaya ni "Watanzania waishio uhamishoni"

    Chanzo cha habari nyeti isiyo na konakona ni MANGE KIMAMBI. Ukitaka kujua hilo, fatilia kwa sasa viongozi wote wakisimama kuzungumza basi ujue anajibu hoja hafifu alizozificha kwa kujidanganya iliyolipuliwa na mange ambayo imelenga ukweli na wao hawakutaka mwananchi ajue. Wengine wasio na hofu...
  11. frontpage

    JamiiForums Tanzania Album ya D'mond ipo mtaani, Wachoma CD 1500/= why? Basata nao

    Kuibiwa kunategemea, hapo anaongeza ajira kwa vijana.
  12. frontpage

    JamiiForums Tanzania Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

    Utakuwa umechoma account, ongea na brocker wako akupe fafanuzi.
  13. frontpage

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Kike - Julieth, Judy, Jack Kiume - Jackson, John,
  14. frontpage

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Swali lenye ukakasi. . Tangia yote yatokee ni lini wananchi walifahamishwa kuhusu hilo zaidi ya kuibuliwa? . Nini kimewazuia kueleza sababu za kuzuiliwa kwa ndege na mnafanya siri? . Pesa zilizolipa deni zimetoka kwa fungu lipi mbona msemaji wa serikali hajazizungumzia. . Mnashangilia kuhusu...
  15. frontpage

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

    Maeneo ya oysterbay niliona walijaribu kuzitumia hizo nguzo za zege nadhani kuna maeneo na maeneo wanayotumia na wasiyotumia.
Back
Top Bottom