John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

heche yuko sahihi kabisaaa!! hata Mungu mwenyewe hulipiza kisasi. anasema nami. nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne.
kutoka 20:5

sasa jiulize kizazi cha tu na cha nne ni miaka mingapi??
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko wenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

ngoja na sisi wa familia ya kaka Tundu Lissu tuandae vitendea kazi kwa kweli!
 
Nature is always ordered!
Imeandikwa "apandacho Mtu ndicho atakachovuna"
Ukipanda wema utavuna wema na ukipanda ubaya utavuna ubaya!
Ktk kila afanyacho Mtu kuna kuwajibika!
Atukuzwe Mungu aonae mwisho wa jambo kungali mwanzo!
 
Halafu sijui Kwa nini mara nyingi adhabu zitokanazo na dhambi ya dhuluma huwa Mungu hachelewi kutoa Kwa Yule Mtu aliyedhurumu mwingine!
Na dhuluma inaweza kuwa ktk namna nyingi mfano dhuluma zidi ya haki ya Mtu flani n.k!
Eeeh Mwenyezi Mungu nakuomba uniwezeshe kuenenda vyema ktk namna ilipendezavyo Wewe na Wanadamu!
 
Movies za kihindi karibuni zianze kufanya kazi Tanzania ila ogopeni Visasi,
Kama mtu anafanya mambo hayo anaangalia nafsi yake tu,basi ukweli ni kuwa wakati anafanya hayo ,ahakikishe hana ndugu au hazai lakini kadri siku zinavyoenda ,watu watakuwa wanadunguliwa wamekaa bila sababu kisa watu fulani wamewahi kuuwa na mmoja wa familia yako
 
Ulipizaji kisasa utakapoanza serikali na CCM ndio wakulaumiwa maana wanalea uhalifu kwa vile hauwagusi wao, yetu macho.
 
Hizi siasa usanii usanii tu. Tunachojali kwa sasa wasituvurugie amani yetu basi.

Mkubwa mbona kwa sasa unaandamwa sana na upepo wa BAN, kulikoni? Mbiti etini kungwi geni buraza
Nani anavuruga amani ya nchi? si watawala? na ndio wanadanganya umma kuwa wanahubiri amani. Ila wao ndio wanavuruga amani yetu kwa tabia za ajabu kabisa ambazo hatujawahi kuwa nazo Tz.
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko wenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Mwambie aende Igunga akajibu tuhuma ya kummwagia tindikali kijana Tesha. Hata akimbia hapa duniani lakini kwa Mungu lazima achomwe moto!
 
Damu iliyomwagika ya AKWILINA italipwa tu.

R.i.p
 
Mwambie aende Igunga akajibu tuhuma ya kummwagia tindikali kijana Tesha. Hata akimbia hapa duniani lakini kwa Mungu lazima achomwe moto!
Suala la Tesha analijua Mwigulu angekuwa mwanachadema ndiyo kafanya hivyo muda huu angekuwa segerea.
 
Suala la Tesha analijua Mwigulu angekuwa mwanachadema ndiyo kufanya hivyo muda huu angekuwa segerea.
Tesha mwenyewe amemtaja Heche wewe unasema Mwigulu sasa tukuamini wewe au mwasirika Tesha??
 
Tesha mwenyewe amemtaja Heche wewe unasema Mwigulu sasa tukuamini wewe au mwasirika Tesha??
Mpelekeni mahakamani, Mwigulu ni waziri wa mambo ya ndani lkn kila siku anazunguka na Tesha utazani mdoli wake hajui vilipo vituo vya polisi.
 
Back
Top Bottom