Recent content by Freshbrain

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.

    Naona na TEC wanataka kutuletea ya Congo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Hivi ni wapi jana katika speech ya Mbowe kaongelea CAG report? Huyu mzee anazeeka vibaya
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akaambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Asante sana kwa ufafanuzi
  6. F

    JamiiForums Tanzania William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Asante mkuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002 alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF hadi mwaka 2018 alipohamishiwa NSSF baada ya kung'olewa Prof...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Zitto & Co: Zimebaki Siku 3 tu Kumg'oa Waziri Mkuu, Nini Kinaendelea??

    Naamini watakuja wenyewe kukupa majibu, au hata humu humu utapata majibu. This is JF, 'Ukweli na Uhakika'. Lol
  9. F

    JamiiForums Tanzania Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule ,jiko na choo inapangishwa Kimara

    Mita ya umeme ni LUKU, Gari linafika na unaweza kulaza ndani ya Geti hapo hapo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule , jiko na choo inapangishwa Kimara

    Ipo Kimara mwisho kaka
  11. F

    JamiiForums Tanzania Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule ,jiko na choo inapangishwa Kimara

    Habari za shughuli wadau, Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee. Kwa hiyo natafuta mtu nitakayemuuzia mkataba, HAKUNA UDALALI. Kodi kwa mwezi ni 160,000/= utalipa...
  12. F

  13. F

    JamiiForums Tanzania Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule , jiko na choo inapangishwa Kimara

    Habari za shughuli wadau, Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee. Kwa hiyo natafuta mtu nitakayemuuzia mkataba, HAKUNA UDALALI. Kodi kwa mwezi ni 160,000/= utalipa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Stars vs Moroco in JF

    moja bila chamackh dk ya ishirini
Back
Top Bottom