Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule ,jiko na choo inapangishwa Kimara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emergency: Nyumba ya vyumba2,sebule ,jiko na choo inapangishwa Kimara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Freshbrain, Mar 15, 2012.

 1. F

  Freshbrain Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za shughuli wadau,

  Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee.

  Kwa hiyo natafuta mtu nitakayemuuzia mkataba, HAKUNA UDALALI. Kodi kwa mwezi ni 160,000/= utalipa Miezi 11 (Kwa sababu nimeshatumia mwezi).

  Nyumba ina Marumaru upande wa sebuleni mpaka jikoni..na pia imeshanyiwa ukarabati i.e rangi etc tayari kwa kuhamia.

  Ipo Kimara Mwisho umbali wa Dakika nane (8) kwa mguu kutoka barabarani.

  Yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0712-272722 au 0767-272721. Hakuna UDALALI.
   
Loading...