Stars vs Moroco in JF

Kwa jinsi mchezo unavyokwenda ni suala la muda tu kabla ya "mvua" haijaanza kunyesha.
 
Taifa Stars inahitaji wachezaji waanzishie darasa la elimu ya Lugha pia ukiwacha mpira, katika Game 5 zilizopita leo Taifa stars naona mpira haujatulia touch mbovu pia subiri tuone itakuwaje tunajiumiza kwa kukimbia mabio tu.
 
Kaseja naye uoga tu goli gani la kufungwa naona tumeenda kukaba sio kushambulia sasa kipindi cha pili tutabakia kuangalia Taarabt anavyocheza mpira tu... tulichotakiwa ni kushambulia sababu wao ndio wenye wasiwasi wakutofanikiwa sio sisi Taifa stars hawajui wafanyalo. tuwekee Ngassa na Jabir kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom