Me naona kama kiongozi ana wajibu wa kuadabisha na kukemea vitendo viovu kama hivyo, mbona kuna baadhi hata ya viongoz wa dini wanawafuta ushirika waumini kwa kufanya dhambi za hadharani, kuwakamata Ni mojawapo ya njia kuwarejesha tu kwamba huko walko sio, warudi huku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.