chiddy boy
Member
- Jan 2, 2017
- 86
- 25
Jamani naombeni kujua kama kutakuwa na penati za masomo mwaka huu kwa wahitimu wa kidato cha NNE mwaka 2016 na pia nijue ni masomo gani yatakuwa na penati naombeni kujua na pia na matokeo yatatoka lini yao
Penalty ipo kwenye English na History matokeo yatatoka tarehe kumi mwezi huu JanuaryJamani naombeni kujua kama kutakuwa na penati za masomo mwaka huu kwa wahitimu wa kidato cha NNE mwaka 2016 na pia nijue ni masomo gani yatakuwa na penati naombeni kujua na pia na matokeo yatatoka lini yao
Jamani naombeni kujua kama kutakuwa na penati za masomo mwaka huu kwa wahitimu wa kidato cha NNE mwaka 2016 na pia nijue ni masomo gani yatakuwa na penati naombeni kujua na pia na matokeo yatatoka lini yao
Poa kakapenat lazma kwa maxomo ya Civ,Kisw na Math, alaf matokeo yenu yanaweza kutoka mwez huu wa kwanza mwishoni, alaf watabana xana coz awatak wanafunz fek kwenda kidato cha tana xo 1 na 2 ndo zitaenda kidato cha tano lakni unaweza ukapata bahat atakama una 3 ukaenda kidato cha tano, but ucwaze dogo jiamin
okay dogoPoa kaka
Mkuu hii ndo naickia leo ni kweli?Penalty ipo kwenye English na History matokeo yatatoka tarehe kumi mwezi huu January
Me nipo form six nauliza hivyo kwasababu na dogo langu kamaliza form four mwaka Jana sasa ajui kama kunapenatiChiddy boy pole sana maana naona unalishwa matango pori tupu hapo juu....Wakati mwingine kabla hujasikiliza ushauri angalia hata aina ya uandishi wa mtu anayetoa ushauri au taarifa...
Mfano huyo Hassan Enzi...anajifanya kama vile ni msemaji wa necta kitengo cha penalties lakini anaandika X badala ya S....ukishaona hayo achana na huo uhuni...
Wengine wanakwambia penalties zipo kwa English na History...
Mimi ninavyojua QT inawahusu watu hasa ambao hawajawahi kugusa elimu ya sekondari au walifeli kidato cha pili na sasa wanaihitaji kwa muda mfupi...badala ya miaka 4 unatumia miaka 2...
PC ni mtu alowahi fanya mtihani ila credits hazikutosha...
Sidhani kama wewe umehitimu fomu four kisa credits hukupata uende kusoma QT
Kaka matokeo siyo February km kawaida auPenalty ipo kwenye English na History matokeo yatatoka tarehe kumi mwezi huu January