Recent content by Freelancer Wakala

  1. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

    Hata ikifufuka haisadii chochote walikushusha ukiwa asilimia 99% ilibaki moja kutimia 100.Walikushusha aslimia 97 umebaki na 3 kati ya 99% halafu kaondoka eti uanze tena kwenye asilimia 3 wenzako wapo kwenye asilimia 99 wamebakiza moja kutimia 100%.Ndo unachotaka wafanye Bongo Records watafeli.
  2. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    We unabishana na wakristo wenyewe mkuu
  3. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Mmmmmmh wametisha hawa jamaa!!
  4. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Nyie Dark Web nao wanasheherekea Mwaka mpya 2019 huu mwaka ungine tupeni ya dark web yapoje wakuu.
  5. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Dark Web hamjarudi tu? Au mmepotelea ukouko?
  6. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Video zilizotazamwa sana You tube kwa mwaka 2018 Harmonize aongoza yeye ni wa kwanza na wa mwisho You tube.

    Habari members!! Katika sakata la harmonize kuachana na Meneja wake Mr.Puaz ndo limeshika habari hapa Tanzania uku Harmonize tunayemjadili yupo Nigeria leo katika jiji la Lagos katika harakati zake za kutoa show nchini humo. Yote na yote tumtakie kazi njema kijana huyo Harmonize katika...
  7. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Huu wimbo kwangu sijawahi kuhusikia wala kuuona kwa You Tube tangu utoke.
  8. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania Watu bora kwa mwaka 2018 na watu wenye mafanikio kwa mwaka 2018.

    Habari JF members. Kichwa cha habari kama kinavyosema Watu bora kwa MWAKA 2018 na wenye mafanikio makubwa kwa MWAKA 2018. Mr.Lovebite kipenzi cha walimbende I am lavalava amesema kwake "namba moja MWAKA huu ni Mama yake mzazi ni bora zaidi,Familia yake,Uongozi wake wa WCB...
  9. Freelancer Wakala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamme wa kunioa.

    Nipo single
  10. Freelancer Wakala

    JamiiForums Tanzania List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

    Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu. Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018. 1.P-Square- 676M+ 2.Davido-649M 3.Diamond Platnumz-516M+ 4.Mr.Flavor-434M+ 5.TeknoMile-369M+ 6.YemiAlade-290M+...
Back
Top Bottom