Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Nimesema kuwa kwa waumin waki islam siku za alhamis na ijumaa ni siku zenye baraka. Hayo mambo ya freemason yanatoka wapi? kipi kilianza mwanzo kati ya uislam na Freemason?
Alhamisi Ni siku ya Freemason ko Kama waislam wanasapoti ufreemason it's ok kwasababu muziki ni zao la biashara la Freemason
 
Hiyo ngoma imekuwa ndio #1 hit ya Tanzania kwa sasa " hakuna siku ambayo sijawahi kuisikia tangu iwe released ... na huwa naisikia zaidi ya mara 3 per day " .... come back ya alikiba This time sio ya mchezo mchezo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa umetokota mkuu ... kwani clouds ikipiga nyimbo inasikika Ikulu !? Au Walaji wa huduma za clouds wanapatikana ..bungeni mkuu "
Jitahidi kuachana na haya mambo ya u-,team yana wafaa vijana wasio kuwa na uwezo wa ku-resorn ..ona sasa mpaka umeuliza swali lakijinga" Ambalo halifanani na wewe " .... na hatimae unaji shushia credit !...

Hapa ndio umejibu nini sasa !?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaandika uzi kimbea mbea hahahahaaaaa thats king kiba aka silent BILLIONAIRE,jini sauti,fundi muziki, fundi mpira ngoma yake moja ni sawa na za wcb 6-8 na kama hawez why msiache kumlinganisha na huyo mvaa vikuku? C mumlinganishe mvaa vikuku wenu na kina ben polisi, jux na wengine mnanmkazania kiba tuuuuu na huku mnasema hajui muziki stupid
 
Back
Top Bottom