Recent content by Freedom tommorrow

  1. Freedom tommorrow

    Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.
  2. Freedom tommorrow

    Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Waliokutafsiria hawajatafsiri ndoto yako sawa sawa. Kidogo taamu amejaribu kwa asilimia kama 40. The rest ni waongo
  3. Freedom tommorrow

    Mabasi ya Akida yahodhi njia ya kwenda Mloka (Rufiji)!

    Mloka ipo Wilaya ya Rufiji kwenye lile poli la Selou game reserve ni eneo la Rufiji ambalo lipo karibu na mkoa wa Morogoro. Ila mleta mada sio kweli hivi sasa kuna kuna gari ndogo nyingi zinafika mloka. Ukifika hapo mbagala au temeke utazikuta. Zipo zingine zinaishia kilimani. Mimi ni mkazi wa...
  4. Freedom tommorrow

    Tujuzane Kinachoendelea Mgomo wa Mabus ya Mikoani Leo 10/03/2021

    TUPO MAENEO YA NGORONGO-RUFIJI NAMSINDIKIZA MTU KWENDA DAR TUNASUBIRI AKIDA BUS SERVICES, LIPO NJIANI LINAKUJA KUTOKEA MLOKA. HAKUNA MGOMO HUKU
  5. Freedom tommorrow

    Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    sidhani kama ndoto hii ni ya kijinga. ndoto hii alijulishwa jambo kubwa sana katika mahusiano yake. ni lugha za mafumbo zinazotumika ndotoni ndio watu wanaona ndoto hazina maana. lakini si kweli
  6. Freedom tommorrow

    Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Rufiji ilikuwa too much, hatukuielewa mifugo yetu... saa 1 jioni ilikuwa inafanya fujo sana mabandani....tulihisi labda kuna mduu au mnyama mkali
  7. Freedom tommorrow

    SUMATRA/LATRA sijaona umuhimu wa kuwepo mamlaka hii

    Sawa kabisa. Ni vizuri serikali ipunguze kodi kodi zikiwa nyingi watu wanapata ya kusema ni bora kucentralize TRA
  8. Freedom tommorrow

    Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

    inabidi tujipange sana ndugu yangu, kwa mafuriko yaliyotokea mwaka huu. huku usisikie ni kuliko yale tuliyoyasoma vitabuni zamani.
  9. Freedom tommorrow

    Thamani ya daraja la kwanza pointi 7(division 1.7) miaka ya leo

    Nilimaliza 1989 sikuwahi kuona past papers ya Baraza zaidi ya mock. Nakumbuka nuliisoma Sana Abott second edition yote mwanzo mwisho nukaishia kupata C ya physics... Miaka Ile ilikuwa shida sanaaaa
  10. Freedom tommorrow

    Yvonne Chakachaka atimuliwa Uganda kwa kufanya shughuli ya kujiingizia kipato bila kibali cha kazi, Mwenyewe akanusha na kuahidi kurejea Uganda

    Naipongeza Sana immigration department ya Uganda. Hakuna kupindisha taratibu eti kwa vile Ni msanii. Katika nchi zao wenzetu wanafanya hivyo hivyo.
  11. Freedom tommorrow

    Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

    umenifurahisha kweli. yaani wewe ndiye unayejua hasa Maisha ya Mtanzania na asili yake
  12. Freedom tommorrow

    Nini kimeikumba kampuni ya Dangote Cement?

    kama ungetoa malalamiko cement ya Dangote ipo juu bahadhi ya maeneo ya Wilaya ya Mkulanga, Kibiti, Rufiji na Kilwa kuliko inavyouzwa Dar ungesaidia sana
  13. Freedom tommorrow

    Maoni: Kama una miaka 25+ na humiliki kipande chochote cha ardhi (hata 2*2) kuna uwezekano mkubwa kufa masikini

    Sio kweli Ila kizazi Cha Sasa ndio Kuna pupa za kupata Mali kwa muda mfupi na umri mdogo. Wanapenda kujadili mafanikio ya wenzao hapo ndio shida. Sisi tulifanikiwa kuwa na ardhi tukiwa na miaka 40+. Miaka 25 Bado ni umri wa kutafuta na sio kumiliki...
  14. Freedom tommorrow

    Rubani aliyekutana na UFO( mtambo wa Eliens angani ) aeleza jinsi ilivyokuwa na kuonesha video katika rada yake

    hatushangai haya sio mara ya kwanza kusikia hayo. kwa wale waliokuwa na ufahamu na kumbukumbu haya yalizungumzwa sana miaka ya 1980's wakati wa Reonald Regan alivyokuwa rais wa Marekani na Michael Golbechev wa Soviet Union. Ni marudio Tu. Kulikuwa na propanda nyingi miaka ile ya vita baridi...
  15. Freedom tommorrow

    Yanga vs Simba hawa walikuwa hatari sana

    Hapana amekosea....hiyo ni awamu ya pili ya Zamoyoni Mogella. Alianza miaka ya 1980. Nikukumbushe kidogo unajua jina la Golden boy alilopewa na Ahmed Jongo mtangazaji alilitoa mwaka gani? Ilikuwa 1980 Kati ya taifa start na timu ya taifa ya Malawi. Mogela alisawazisha goli na kuwa 2-2 Dak ya 89...
Back
Top Bottom