Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

Kwanza Jambo la kwanza Kama imani yako sawa na Mimi, yaani mkristo, nyunyiza damu ya Yesu juu ya ndoto uliyoota, na ukatae maagano yoyote yaliyofanyika juu yako na nguvu za Giza,ninaamini utakuwa salama

Amina Sanyaji
 
wakuu

nimeota kuna mzee nafahamiana nae hapa kijijini kwetu na ni mzee anaheshimika kweli Kwa busara zake,hekima na utulivu wa akili yake.
Leo nimeota nilikua barabarani taratibu natembea basi taratibu akawa anapita na gari lake ,alipofika karibu yangu akalisogeza karibu kabisa na nilipo ile kama anataka kupack, akanitazama tu na hakuongea kitu na hakupaki akairudisha gari barabarani na kuondoka kwake nyumbani alikua anarudi nyumbani. Huwa si kawaida yake Kwa tulivyozoeana na anavyonifaham mimi na wazazi wangu.

Nimeamka asubuhi Leo nimepokewa na habari kwamba mzee fulani amefariki dunia. Hii imekaaje sijaelewa au kule kunitazama ndo majibu yake haya asubuhi ya leo....
 
Mkuu acha ujinga. Fanya kazi.

Ndoto ni upuuzi tu.
sidhani kama ndoto hii ni ya kijinga. ndoto hii alijulishwa jambo kubwa sana katika mahusiano yake. ni lugha za mafumbo zinazotumika ndotoni ndio watu wanaona ndoto hazina maana. lakini si kweli
 
Hyo ndoto sio nzuri kukosa viatu vyako ni kukosa umiliki na utayari, pray hard maana bila hvo Mambo yako yatagoma sana
 
Yupo mtu anakuzibia mahali, niko bize kidogo ningekuambia zaidi
 
Hamna kitu hapo ukiwa umelala ubongo una pumzika kwa iyo oblongata ndo Ina fanya kazi ni aina ya ubongo nayo ufanyaji kazi wake ndo Kama ivyo mfano ukiamshwa tuu wenyewe una acha kufanya kazi unaanza kufanya wa kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom