Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana.

Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa Sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe Kiranja Mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni sheeeeeda
Kaka hongera sana , kwa maada nzuri unayouasema ni ya kweli kabisa ...yaani kuendelea ni vigumu unayejifunika naye shuka moja !! Huyo naye anaenda kukuloga usipate hela ...ukatajirika ukamuacha

Demu unamleta gheto kwako unakimbilia kiepe ananyofa uzi wa shuka anapeleka kwa mganga naye anataka aolewe wakati uke wake tu ni bwawa ...ulikuwa unapita tu kupunguza ugwandu

Mkeo akienda kwao kusalimia kuna shule anapewa na anatembezwa kwa waganga .....uwe unawafikiria wao tu ukisikia baba tunanjaaa ushaanza kuhahaha kutafuta kukopa

Ndugu nao wakisikia umetoboa hasa mashangazi na wao wanaanza kuona wivu wanajitahidi sana wakumalize kbs ...ili kaka yao asiwatambie

Haya !! Uñaanza kuwaza mwakani unajenga nyumba , mkeo anakimbilia kwa mganga uanzie kwao

Haya umekutana na x wako ,kabla ya kumuowa wife uliye naye, unaomba mkumbushie anasema poa , mnasex anakufuta na chupi yake ndio kakumaliza kbs unakuwa huwa mzuka na wife ...hela yote kwa x..ukipiga kamoja chali mxuka hamna unaanza sababu...nakubadilisha stetion tu za redio uck wote,mara choice fm,mara Tbc, mara redio one, mara R.F.A ..hutaki tena mke akuguse

Una vijimaisha vya kawaida kila unacholeta kaboksi majirani wanachungulia wanakekereka uck mnalala wana mwaga dawa mlangoni unaenda kazini unapata ajali kale kahela ulikoanza kutunza unakatumia kote

Yaani tuishi na watu kwa akili sana wengine ni rafiki zako wanatumia na mtu wa pembeni ili wakunase kwa ukaribu
Kabisa!

Usiamino watu hovyo hovyo kuamini sana huwa kunaponza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hongera sana , kwa maada nzuri unayouasema ni ya kweli kabisa ...yaani kuendelea ni vigumu unayejifunika naye shuka moja !! Huyo naye anaenda kukuloga usipate hela ...ukatajirika ukamuacha.....
Ukiwa na biashara ndio utarogwa hadi ukome. Utarogwa na washindani wako, utarogwa na ndugu zako ili wakiiuomba msaada wakupe bila kuhoji, utarogwa na wanawake wa kila aina ili uwapende, utarogwa na wafanyakazi wako. Utarogwa tuuuu
 
Maisha ya Kiafrika ni shida sana yote uliyoandika yanatokea katika maisha yetu ya kila siku na mwisho wa siku jamii nzima ni wahanga kwa maana waathirika wengine wamefikia hatua ya kuwa tegemezi/omba omba.
Tunachuki sana, hatupendi mafanikio ya wenzetu. Usione mtu anakuuliza biashara yako unaendeleaje, kumbe anataka kujua mafanikio ya yale madawa aliyopewa na mganga namna yanavyokuathiri
 
Mtoa mada na wachangiaji wengi mmesema ukweli mtupu. Tatizo ni kwamba watu hawajui kwamba Mungu ana kanuni ambazo hazibadiliki. Mungu anakulipa kila unachofanya kiwe chema au kibaya.

Ndio maana mafundisho ya dini yanasema wazi kwamba ukiwasaidia yatima na wajane, Mungu anakulipa mema. Na ukifanya ubaya unalipwa ubaya (karma).

Kwa hiyo, mtu anapomloga mwenzie, naye anapata wa kumloga. Kwa hiyo maendeleo hayatakuja kwa walogaji. Waafrika tungepaswa kujua hilo lakini kwa vile hatutaki kulifuata, tutaendelea kuwa masikni miaka yote !!! FOREVER !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
umenifurahisha kweli. yaani wewe ndiye unayejua hasa Maisha ya Mtanzania na asili yake
 
Hatuendelei kwasababu tumetelekeza dini zetu na imani zetu tukakumbatia imani za wenzetu.
Mtu busy anamuomba eti Mt.John, john anamujua wapi kwani babu yako yule
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom