Yanga vs Simba hawa walikuwa hatari sana

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
14,567
25,623
YANGA
Stiven Nemes,David Mwakalebela,Kenneth Mkapa,Godwin Aswile,Salum Kabunda,Isah Athuman(R.i.P),Abubakari Salum,Athuman China,Said Mwamba(R.I.P) Sanifu Lazaro na Uncle Tom
SIMBA
Mohamed Mwameja,Kasongo Athuman,Twaha Hamidu,Mustafa Hoza,George Masatu,Hussein Marsha,Zamoyon Mogella,Hamis Tobias Gagarino(R.I.P),Edo Chumila,Malota Soma na Dua Said.
Hapo sijataja reserve wa timu zoote hao jamaa mpira walikua wanajua sana aisee kama mtu ana kumbukumbu ya mirambo,reli morogoro,tky stars,pamba ya mwanza, mecco,tiger,coastal union,maji maji songea,sigala bila kuwasau nyota nyekundu. Kipindi hicho mpira ulikuepo sana.
 
Mkuu kwa upande wa simba mtoe zamoyoni mogella. Hakucheza na wachezaji hao. Yeye alicheza na:-

1. Iddi pazi
2. Kiwelo musa
3. Daudi salum
4. Athumani maulidi
5. Lila shomari
6. Mtemi ramadhani
7. Nimemsahau
8. Ramadhani leny/ ezeckieli grayson jujuma
9 zubei magoa/abdallah mwinyimkuu
10 zamoyoni mogela
11. Sunday juma

UNAZUNGUMZIA MIAKA YA 1980'S
 
Reli ya Morogoro:Sahau Kambi ,Mohamed Mtono ,Fikiri Magoso ,Madundo Mtambo ,Duncan Butinini....wengine nimewasahu

Sigara : Joseph Katuba , Selemani Mkati ,...etc ...

Nyota Nyekundu: Kichochi lemba, Kasongo Athumani , Mwimbage Omary,Roster Ndunguru etc

duh memory imegoma...ongezeeni wadau
 
Kagera star: Clement Kahabuka, Biashara Shinyanga: Edibily Jonas Runyamila, Bandar Mtwara: Innocent Amlima nk
 
Mkuu kwa upande wa simba mtoe zamoyoni mogella. Hakucheza na wachezaji hao. Yeye alicheza na:-

1. Iddi pazi
2. Kiwelo musa
3. Daudi salum
4. Athumani maulidi
5. Lila shomari
6. Mtemi ramadhani
7. Nimemsahau
8. Ramadhani leny/ ezeckieli grayson jujuma
9 zubei magoa/abdallah mwinyimkuu
10 zamoyoni mogela
11. Sunday juma

UNAZUNGUMZIA MIAKA YA 1980'S

Zamoyoni Mogella amecheza Simba msimu wa 1990 na 1991. Masatu, Mwameja na Hussein Marsha walikuwa bado hawajaingia Simba lakini Twaha Hamidu, Edo Chumila, Malota Soma walikuwepo Simba.
 
Mtemi Ramadhani... moja ya viungo wakabaji bora kuwahi kutokea Tanzania.
 
Zamoyoni Mogella amecheza Simba msimu wa 1990 na 1991. Masatu, Mwameja na Hussein Marsha walikuwa bado hawajaingia Simba lakini Twaha Hamidu, Edo Chumila, Malota Soma walikuwepo Simba.

uko sahihi mkuu...
 
Hao wote kunayeyote aliwahi hata kuchezea hata ligi daraja la Pili Uingereza,Ufaransa,Italia au hata Ubelgiji....au ndo walewale wahapahapa na sifa za kijinga
 
Michael Kidilu,Peter Mwakibibi,Kaunda Mwakitope,Mtekere (RIP) Danford Ngesi,Lumumba,Steven Musa (RIP?) some Tukuyu stars chaps
 
Ongezea Godwin Aswile, Mbwana Makata, Aston Pardon, Jimmy Morreid ......
Michael Kidilu,Peter Mwakibibi,Kaunda Mwakitope,Mtekere (RIP) Danford Ngesi,Lumumba,Steven Musa (RIP?) some Tukuyu stars chaps
 
uko sahihi mkuu...
Hapana amekosea....hiyo ni awamu ya pili ya Zamoyoni Mogella. Alianza miaka ya 1980. Nikukumbushe kidogo unajua jina la Golden boy alilopewa na Ahmed Jongo mtangazaji alilitoa mwaka gani? Ilikuwa 1980 Kati ya taifa start na timu ya taifa ya Malawi. Mogela alisawazisha goli na kuwa 2-2 Dak ya 89 alikuwa yupo simba
 
Ongezea Godwin Aswile, Mbwana Makata, Aston Pardon, Jimmy Morreid ......

Huyo Jimmy Morreid alikuwa anafunga hatari,kuna kipindi walikuwa na striker sijui Patrick Lumbumba yule (Pande la mtu) alikuwa anatupia hatari pia.That was then and this is now!
 
Back
Top Bottom