Recent content by fredy18

  1. F

    Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Kuna washikaji zangu km 20 graduates wa chuo kikuu ila kazi wanazofanya ni tofauti kabisa, just imagine mtu kasomea aquatic life hlf anazungusha dawa za binadamu kwenye kampuni za kichina mwaka wa 5 sasa
  2. F

    Clinical Officer anashindwa pata nafasi ya kujiendeleza kielimu

    Kuna mshikaji wng kapata md vyuo vya private na gpa ya 3.1 asikate tamaa kikubwa connection na kutafuta hela. Indirectly way nafasi ipo ht kwake mwenye 3,0
  3. F

    Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Daktari serikalini au private? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Erasmi Enyansi hakwenda Tosa alienda Bwiru Boys then Ilboru alipokuwa To 2013 ACSEE Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Lameck yupo Mwanza ni Civil Engineer, Fadhilay ni Md kamaliza Muhas, hao wengine sijui Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    Mazito yafichuka Mkuu wa shule Lyamungo aliyezuiwa kuhama na DC Sabaya

    Hizi mambo za upigaji zipo sana nakumbuka niliwekewa Zaidi ya Mil 150 kwa ajili ya ukarabati, timu ya wilaya wakafanya figisu hadi zikahamishwa kwa sababu ya kipuuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    Hii dhana ya uhusiano wa ajira na utajiri kwa watumishi jamii imetoa wapi

    Huyo hajakutana nao mm mdogo ake Shem wangu yupo Tra Dar kanunua kiwanja milioni 28, bado super market kubwa anayo Dar na kazini hata miaka 7 hajafikisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

    Htr Sent using Jamii Forums mobile app
  9. F

    VIDEO: Italy hali ni mbaya sana kutokana na corona mortuary zajaa makanisa yatunza maiti

    Acha uongo yaani watu 1800+ ndo kufurika? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. F

    Gatuikira, Kiambu: Familia yalazimika kufanya mazishi ya kijana wao bila kuwepo mwili wa marehemu baada ya kushindwa kulipa gharama za hospitali

    Familia kushindwa kulipa mil zaidi ya 350 za kibongo kuchukua maiti ni umaskini? Je wewe waweza toa hela hizo kisa kuchukua tu maiti Sent using Jamii Forums mobile app
  11. F

    Usomaji wa Diploma vyuo vikuu badala ya kutoka Form Four

    Unasoma vizuri kikubwa ufaulu mzuri Olevel na diploma upate gpa kubwa hasa first class. Kuna mwana yupo MD3 Udom Olevel alipt four ya 26 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom