Recent content by Fredy James

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    samahani naomba kuuliza, hili jina lako la masaburi lina maana ya makalio au?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kwanini viongozi wetu wa Tanzania ni dhaifu kwenye kutoa maamuzi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Animation hizo jamani

    :sleepy::israel::A S cry::flypig:
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni, Mbwiga Mbwiguke wa Clouds FM angekuwa na kiwango cha Messi!

    Jamaa ninamsikiaga akisema UMATEMATE hivi maanayake ni nini? naomba anayejua anijuze.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Qualifications

    Bwana King'ast, swali langu nilikuwa namaanisha Je ni sawa mtu kumaliza form four na kuingia board moja kwa moja na hatimaye kumaliza na kusajiriwa hadi kuajiriwa. Na hata baadaye akipata experiance ya kazi anaweza kujiunga na masters. wapo watu hapa Tanzania wanafanya hivyo MKUU
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

    Napita wakuu Amani kwenu. Matusi si ruksa kwenye JF.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Qualifications

    Mkuu, yaani namaanisha professional board wanakuwa na Levels zao ambazo zinakuwa na link na academic professional kwahivyo watu wenye Degree kuna level ya juu wanaanza lakin wale wa form four wanaanzia level ya chini na baadae kama akifaulu anapanda taratibu ngazi moja hadi nyingine na hatimaye...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Makinda amuumbua Makongoro Mahanga

    Huyu mama yupo makini sana na hana tatizo na mtu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Diamond, Jokate WAMWAGANA !

    hao wote ni wapuuzi. wala haina haja ya watu kama sisi kuwajadili.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Qualifications

    Ebwana kweli ww ni mtanzania makini, ahsante sana kwa jibu zuri na nimelizika nalo kabisa. Lakini swali lingine la nyaongeza hapohapo. Kwenye nchi yetu sasa hivi kuna watu wanokwenda kuanza moja kwa moja professional Board baaada ya kumaliza form four alafu wakimaliza hadi kupewa usajili...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

    Nyie mijitu mnazungumza vitu ambavyo wengi wenu mnaonyesha ni jinsi gani mlivyokuwa na elimu ndogo. Hanma uhakika na kile mnacho kisema, kwasababu huyu mtu aliyeweka list ya majina ya wenye PHD feki ukiyaangalia yale majina kwa mfano Dr Didas Massaburi amemsingizia hata kwa ukiangalia tu, unaona...
  12. F

  13. F

  14. F

    JamiiForums Tanzania Qualifications

    Kuna tofauti gani kati ya Academic qualification na Professional Qualification? Na zinafanyaje kazi kwenye nchi yetu ya Tanzania?
Back
Top Bottom