Makinda amuumbua Makongoro Mahanga

Wanajifunza kutokana na makosa.

Tunaamini kuwa kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa.

Hongera mama.

Kaka, ina maana tunatakiwa tuweke room ya kujifunza kwa vimakosa
ambavyo hawa jamaa huwa wanafanya hata kwenye za speaker, mawazili etc.
Kama ni hivyo na Jakaya tumvumilie he will one day change
 
Alikwisha tangaza interest kwamba meya ni ndugu yake kwa hiyo wasimjadili sana.
 
Mama Makinda Bravooo.....,
ndiyo mwanzo nadhani ameona sasa kama kuwabeba basi tena...., kawabeba sanaa toka Dec 2010!
inabidi na wao wenyewe ifike muda wajibebe...
mama kaza buti usiwachekee hao!
hawana hiyana hata kidogo ni lazima wawatumikie wananchi ipasavyo!

ukiendelea hivyo kw muda wote uliyobaki, tutakuombea kwa wananchi wafikirie kukusamehe kwa kosa la upendeleo kw CCM uliokuwa nao b4!
 
Sifa hizi kwa Makinda ni ushahidi mmoja kwamba JF si ya CHADEMA kama walivyodai wale wazushi!
 
Back
Top Bottom