Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

Nyie mijitu mnazungumza vitu ambavyo wengi wenu mnaonyesha ni jinsi gani mlivyokuwa na elimu ndogo. Hanma uhakika na kile mnacho kisema, kwasababu huyu mtu aliyeweka list ya majina ya wenye PHD feki ukiyaangalia yale majina kwa mfano Dr Didas Massaburi amemsingizia hata kwa ukiangalia tu, unaona kabisa huyu mtu unaesema amenunua PHD ndio anaevifanya vitu vya kisomi na kuitumia PHD yake vizuri kuliko yule unaemuona anayo kihalali. Sasa mimi ningefulahi sana kama tukiwajaji hawa watu wenye PHD kwa kuangalia Je PHD zao wanazitumiaje Kusaidia Jamii yeye mwenyewe na Taifa letu ? Kama itakuwa haisaidii Jamii na taifa letu basi huyo ndio ana PHD feki. tukifanya hivi tunaweza kufika mbali hata kimaendeleo
 
Nyie mijitu mnazungumza vitu ambavyo wengi wenu mnaonyesha ni jinsi gani mlivyokuwa na elimu ndogo. Hanma uhakika na kile mnacho kisema, kwasababu huyu mtu aliyeweka list ya majina ya wenye PHD feki ukiyaangalia yale majina kwa mfano Dr Didas Massaburi amemsingizia hata kwa ukiangalia tu, unaona kabisa huyu mtu unaesema amenunua PHD ndio anaevifanya vitu vya kisomi na kuitumia PHD yake vizuri kuliko yule unaemuona anayo kihalali. Sasa mimi ningefulahi sana kama tukiwajaji hawa watu wenye PHD kwa kuangalia Je PHD zao wanazitumiaje Kusaidia Jamii yeye mwenyewe na Taifa letu ? Kama itakuwa haisaidii Jamii na taifa letu basi huyo ndio ana PHD feki. tukifanya hivi tunaweza kufika mbali hata kimaendeleo kuliko kupigana majungu na mwisho kurudisha nyuma nchi kimaendeleo.
 
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?

Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni
Duuuh bahati mbaya wanasaiasa hawakaguliwi vyeti

Hii ni hatari
 
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?

Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni
Na wewe nenda kachukue ya kwako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom