Recent content by Fredrick Mosenya

  1. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mikoa, Wilaya, sehemu ndani ya Tanzania pia na maana yake

    SERENGETI-limetokana na neno la kimasai "siringeti" likimaanisha eneo tambalale ambalo ukiliangalia huoni mwisho wake.
  2. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    kaka kuna wimbo ka jin animeusahau ila nakumbuka baadhi ya mameno yake tu"alipofika karibu aliuona mji akaulilia akisema watu wa yerusalemu"
  3. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    MUNGU akubariki sana umenikumbusha sana,
  4. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuangalia on-line TV channels kwenye PC

    mkuu mambo vp?samahani mbona mm sioni hizo channels?
  5. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TCU mnajichanganya, angalia hapa

    wana jukwaa habali za mapumziko?kwa upande wangu naomba kujuzwa kua kwa mtu aliemaliza kitado cha sita mwaka 2014 akatapa C,D,D.je kwa mujibu wa TCU ana vigezo vya kuomba chuo kikuu?
  6. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    wana jukwaa hivi wanavyosema NTA wana jukwaa hivi wanavyosema NTA level 6,hua wana maanisha nn?
  7. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    uhamisho uliositishwa ni pamoja na huu wa tamisemi coz nimeenda halmashauri kupeleka barua yangu ya uhamisho wahusika wamekataa kuipokea wameniambia uhamisho umesitishwa mpaka mwezi wa tisa.
  8. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    nashukuru kwa taarifa yako mwana jukwaa.
  9. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    duuuh,kwa hiyo hapo itatupasa tuombe upya kwa wale tuliokua tumeomba?
  10. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela leo kamudu kuendesha kipindi bila ushabiki wa kivyama

    nashukuru sana mdau,jana nimekikosa hicho kipindi.
  11. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela leo kamudu kuendesha kipindi bila ushabiki wa kivyama

    kwani jana alikua anamuhoji nani?
  12. Fredrick Mosenya

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    bado hawajatoa ndugu,angalia kuanzia tarehe 15 mwezi huu.
Back
Top Bottom