Recent content by FredMaria

  1. FredMaria

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Hizi stori za hv nazisomaga kwa Makin Sana Kama nipo chumba Cha mtihani. Zinanivutiaga Sana. .Nawew ndo utupe nzima nzima Sas sio nusu nusu
  2. FredMaria

    Mbeya: Raia wa China akamatwa kwa kuwacharaza viboko Madereva wawili kwa kula hela za mchezo wa kubahatisha

    Yani We jamaa Big Up sana Una mawazo Kama Yangu...Yani Tunakuwa Mambu mbu mbu Adi tunaudhi.. Sasa Baba zima unapigwa viboko Kama mwanafunzi.. Hata wanafunz siku hizi wanadinda kwanza..hovyo kabisa
  3. FredMaria

    Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

    Watu tushathibitisha Magu amefariki uyo atakaefufuka atumtambui na hatuna taarfa nae.
  4. FredMaria

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    We ndo unaeropoka unaandika usiyoyaelewa...sas yey ni mjinga akatumbue pasipo kosa
  5. FredMaria

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    HIVI Uliyoandika yanatoka akilin kweli?? Yani mtu amehujum uchumi kisha akatumbuliwa kwa uovu wake eti aludishwe kazini.... DAH ASEE WE JAMAA WEW
  6. FredMaria

    Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Wamama mkwe sielewagi wana matatizo gani na wakwe zao Yani Karibu wote wanafanana tabia.. Chamsingi Mkifanikiwa kuoana Ni vema mkaishi mazingira tofauti na nyumbani
  7. FredMaria

    Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Pole Sana ndg; ila kwa muono wangu mimi huyo jamaa yako Kama atakuwa na msimamo juu yako hakuna kitakachoharibika.. Kaa nae chini myafanyie kazi Tena Kama Bimkubwa Ni msalisali Basi fanyeni mazungumzo na mchungaji wa kanisa lake au mtu yeyoye ambaye mnahisi anaweza kumskiliza.. Ila tatzo lenu...
  8. FredMaria

    Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

    Hahahaha kwamba aludi Tena amalize na masters kabisaaa😄😄😀 Acha ajigongee tu sas Kam mme wake mwenyewe zumbukuku anaonyeshwa asome pale yey anasoma kidore
  9. FredMaria

    Top 10 most developed cities in Africa by quality of life (HD)

    Ako ka kipengere ka quality of life nilikuw sijakazingatia ila economically Lagos iko juu
  10. FredMaria

    Top 10 most developed cities in Africa by quality of life (HD)

    Taarifa yako ni older Sana .. Lagos ndo inashika nafasi ya kwanza baada ya kuipiku Johannesburg uwe unajaribu kutembelea updated info kabla hujapost
  11. FredMaria

    Kwa wale jobless wenzangu tusaidiane ni mbinu Gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha

    Kam umemuelewa alichomaanisha sas unahaja gani ya kutoa ufafanuzi badala ujibu kulingana na ulivomuelewa
  12. FredMaria

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Dah hii mada inanisisimuaga Sana..Juzi tu nilienda na duu wangu kila nikijaribu kuforce Yani hata nusu ya kichwa hakipiti anajibana Sanaa sas sielewi nakosea style nayomueka(kifo ch mende) au ni vipi nishajaribu Karibu Mara 5 wapi nampenda Sana ni wamaisha ila napata ugum Sana.. inafkia hatua...
Back
Top Bottom