Top 10 most developed cities in Africa by quality of life (HD)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
1. Johannesburg 0.798 high

2. Pretoria 0.765 high

3. CapeTown 0.741 high

4. Cairo 0.738 high

5. Casablanca 0.710 high

6. Durban 0.701 high

7. Nairobi 0.698 medium

8. Addis Ababa 0.693 medium

9. Luanda 0.691 medium

10 Lagos 0.685 medium
FB_IMG_1613912889669.jpeg
 
Sawaa ila ilo bus linafanya nn sambamba na Lagos? Wakati bus liko Dar na haijatajwa?
 
Taarifa yako ni older Sana .. Lagos ndo inashika nafasi ya kwanza baada ya kuipiku Johannesburg uwe unajaribu kutembelea updated info kabla hujapost
 
Taarifa yako ni older Sana .. Lagos ndo inashika nafasi ya kwanza baada ya kuipiku Johannesburg uwe unajaribu kutembelea updated info kabla hujapost
Quality of life Lagos iwe mbele ya Jozi kivipi???., kwa ukubwa in population tu Kama Dar.,
 
Yaan Lagos iwe zaidi ya Johannesburg embu kuweni serious kidogo basi labda kama mnamaanisha mizimu na ushirikina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom