Recent content by fredito13

  1. fredito13

    ‘Wachambuzi’ wa kandanda letu na mpasuko kwenye jamii

    Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe, kandanda au bolu). Ongezeko hili la wadau hawa ambao wanajitambulisha na kutambulika kama wachambuzi ni...
  2. fredito13

    Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

    Masaa 2 kwa chombo gani? Nimeishi Pemba (Tibirinzi) kwa mwaka mzima na inachukua masaa 6 kusafiri kutoka Pemba mpaka Unguja. Unaondoka Mkoani saa 2 asubuhi na unafika Unguja saa 8 mchana. Hakuna Speed boats kati ya Pemba na Unguja kutokana na Mkondo wa Nungwi. Haya masaa mawili si sahihi!
  3. fredito13

    Uzi kwa tuliowahi na tunaofanya kazi kwa Wahindi tupeane changamoto za mabosi zetu

    Thanks, boss! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fredito13

    Uzi kwa tuliowahi na tunaofanya kazi kwa Wahindi tupeane changamoto za mabosi zetu

    Mwezi wa 11 mwaka huu nilipata kazi katika kampuni fulani ya Wahindi pale Kange, Tanga. Baada ya kukubaliana nao mshahara mnono, wakaahidi kumpatia kazi na wife ili nihamishie familia yote Tanga. Makubaliano yetu yalikua wangenitumia offer letter mara baada ya mimi kukubaliana nao...
  5. fredito13

    Serikali ifikirie kufanya somo la Rasilimali Watu (HR) kuwa lazima vyuo vikuu

    Wakuu, Nina miaka karibia 10 ya utumishi kwenye sekta binafsi. Nimefanya kwenye makampuni na NGO's kadhaa hapa nchini na kikubwa ambacho ninakiona ni Watanzania kutojua haki zetu maofisini na sheria za kazi! Kwa kiasi kikubwa, sisi Watanzania ambao tunaajiriwa sekta binafsi, wengi ni wahanga...
  6. fredito13

    Manyara: Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira Engerusi Mikonde, auawa akitatua migogoro ya ardhi

    Nimeishi na kufanya kazi za kilimo Wilaya ya Kiteto. Pamoja na ardhi yenye rutuba, wilaya hii bado haina mvua za kutosha na wana tatizo kubwa la maji ya kunywa! Msimu wa mvua unaisha mapema sana kule na kinachofuata baada ya hapo ni jua kali ambalo hupelekea ukame wa hali ya juu mpaka vifo vya...
  7. fredito13

    Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Mbeya kuna makabila ambayo nadhani yanafikia 6 (Wanyakyusa, Wanyiha, wasafwa n.k.). Wanyakyusa ndo kabila kubwa na dominant katika mkoa wa Mbeya na wao ndio wanaobeba bendera ya mkoa mzima! Unapozungumzia Mbeya, unazungumzia Wanyakyusa kwa 75% labda na waliobaki ni makabila madogo madogo. Na...
  8. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Mafinga sio mji wa kibiashara? Is this a joke or? Mafinga ni zaidi ya mji wa biashara! Zaidi ya 25% ya mbao zinazotumiwa TZ hii zinatoka Iringa - Mafinga na Kilolo! Bado unasema Mafinga sio mji wa biashara? Kuna mashamba ya chai pale! Kuna kilimo cha mahindi na matunda Kwa wingi! Ulitaka...
  9. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Sema nilienda ghorofa ambalo halina lift na usifanye majumuisho kuwa Iringa wanajenga maghorofa bila lift! Kuna nyumba za ghorofa 3 na zina lift!
  10. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Hii si kweli! Iringa bado ni kubwa sana na manispaa wanapima viwanja zaidi na zaidi kuelekea nje ya mji
  11. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Miaka ya 1990s uchumi wa Iringa Ulidolora sana kutokana na kufungwa kwa viwanda vingi na makampuni binafsi (kuvitaja vichache ilikua ni Coca na Pepsi ambao walihamia kabisa Mbeya, Vac Lug, Bhesania n.k.). Kwa kiasi kikubwa ajira zilibaki sekta ya umma (serikalini) tu na wafanyabiashara...
  12. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Kwa yeyote anayeifahamu Iringa vizuri, miaka 10 iliyopita mji umetanuka kwa kiasi kikubwa sana! Hii imesababishwa na kukua kwa sekta ya utalii, kufunguliwa na kufufuliwa kwa viwanda vingi, uwepo wa vyuo vikuu vya kutosha pamoja na uwekezaji na ukuaji wa Dodoma! Iringa ni satellite town ya...
  13. fredito13

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Nikusaidie tu, Iringa mjini hakujawahi Kuwa na mgao wa maji toka miaka ya 1990 huko! Na Iringa ni kati ya mikoa michache Tanzania hii ambayo maji ya Bomba yanafaa kwa matumizi ya kunywa moja Kwa Moja Kwa sababu yanatiwa dawa kabla ya kusambazwa! Maji yanatoka masaa 24 na presha ya...
  14. fredito13

    Kangi Lugola: Jengo la Tundu Lissu na majirani zake pamoja na Naibu Spika hayajawai kufungwa CCTV camera

    Mwigulu Nchemba alipokua Waziri wa Mambo ya Ndani alikataa kata kata kuwa yule ambaye alimtolea Bastola Nape Nnauye sio kijana wao. Akasema ni mhuni tu na atafutwe. Aliyazungumza hayo huku wakiwa wameshavuliwa nguo kwa picha za yule bwana kusambaa mitandaoni huku usajili wa gari iliyotumiwa na...
  15. fredito13

    Vitambulisho vya Wamachinga kwanini ni lazima vimalizike kwa udi na uvumba ?

    Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kiasi ni kwanini serikali inatumia nguvu ya ziada kuhakikisha vitambulisho hivi vimekwisha kwa wakati. Nakubaliana na wewe kuwa suala sio kitambulisho, ila kinachopatikana baada ya kitambulisho 'kuuzwa'. Machinga na 'wapiganaji' wengine wanauziwa vitambulisho...
Back
Top Bottom