Uzi kwa tuliowahi na tunaofanya kazi kwa Wahindi tupeane changamoto za mabosi zetu

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,521
2,000
Nimeishia Page ya 143! Katikati ninekutana na madini haswaa ya Hawa Gabachori lakini ghafla katokea Sijui wapi mpuuzi mmoja anajiita Faizafoxy afu anaonekana ni Mwanamke, Huyu hana Akili kabisa.


Typed Using KIDOLE
Acha uongo, huu uzi ndiyo kwanza upo "page" ya 19. Hiyo "page ya 143" umeitolea wapi?

Jipime, usicheze na wasio na akili, watakuumbua.
 

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,209
2,000
Nimesoma komenti za wadau humu mpka huruma. Ngoja niende kwenye kisa changu.

Niliwai kufanya kazi kwa wahindi kwenye taasisi ya elimu fulani aisee acheni tu, kuna siku nilikuwa natoka ofisini kwangu naenda kujisaidia huwezi amini nilikutana na bosi wangu wa kihindi alinigombeza kama mtoto eti kwa nini nadhurura ovyo inamana hataki akuone nnje mda wote uwe bize na kazi, twende sasa kwenye kesi nyingine mda wa kuondoka nakumbuka ulikuwa ukipeleka funguo utashangaa anakuita unaenda wapi wakati mda wa kazi umeisha yani anakuuliza leo hujafanya kazi yoyote wakat mbishi tangu asubui mpk jioni nilikuwa bize mbaya kiukweli tabia ambayo nilikuwa siipendi ananikalipia mbele za watu nakumbuka nilisubili mshahara uingie uwezi amini nilisepa muhindi hakuamini mpk leo muhindi simpendi kabisa ni mnyonyaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

victory02

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,022
2,000
Nimepitia huu uzi,kinachosikitisha sijaona mdau yeyote amekuwa na udhubutu wa kuwapiga hela ya maana. Eti wengine wanakimbia na kuacha mishahara. Kwa kifupi wahindi hawapendi kesi kabisa,ukifanikiwa kutia mamilioni yao mikononi,umetoka.
 

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,417
2,000
Mie nakuona poyoyo, uzi unaongelea walioajiriwa na wahindi wewe unaleta ulivyotemewa mate na mtoto wa kihindi barabarani ambae hujaajiriwa na babake wala mamake.

Hivi hizi akili huwa mnazifungia kabatini?
Naahindwa kukujibu vibaya, maana sijui ni kitu gani kinaizonga akili yako. Maana kwa kusia wewe ni mtu mzima sana, ila unapoanza kuattack watu kwa maneno bila hata kujifikiria inaashiria upungufu wa busara ulionao. Unahitaji msaada bibi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,521
2,000
Naahindwa kukujibu vibaya, maana sijui ni kitu gani kinaizonga akili yako. Maana kwa kusia wewe ni mtu mzima sana, ila unapoanza kuattack watu kwa maneno bila hata kujifikiria inaashiria upungufu wa busara ulionao. Unahitaji msaada bibi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jibu wewe busara zako zilikuwa wapi? Kabatini?...

...uzi unaongelea walioajiriwa na wahindi wewe unaleta ulivyotemewa mate na mtoto wa kihindi barabarani ambae hujaajiriwa na babake wala mamake...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom