Recent content by fred mwakitundu

 1. fred mwakitundu

  Yanga tuko vizuri

  Leo tena timu ya wananchi wanaibuka na ushindi wa saba katika VPL hapo kanda maalumu kwa kina Matiku,Marwa,Mwita,Mwikwabe na sasa tunabanana hapo kileleni na wale wauza ice cream wa Chamazi,mambo ni moto mikia mwaka huu tafuteni kombe la mbuzi,hahahahahahahahaha,kama nawaona vile
 2. fred mwakitundu

  NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

  Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
 3. fred mwakitundu

  Waziri Mkuu wanachuo wa Chuo cha Ualimu Northern Moshi wametapeliwa. Wasaidie

  Inawezakanaje mwanafunzi unamsajili,unachukua ada yake zaidi ya milioni tatu,anasoma miaka miwili,inafika muda wa kufanya mtihani wa mwisho unamwambia hana sifa unamfukuza chuoni.hii imekaaje jamani?. Cha kushangaza zaidi,wanafunzi unampa cheti cha mahudhulio(Certificate of Attendance) na hapo...
 4. fred mwakitundu

  Waziri Mkuu wanachuo wa Chuo cha Ualimu Northern Moshi wametapeliwa. Wasaidie

  Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo. Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
 5. fred mwakitundu

  Naomba kujulishwa TRA

  HAO WATAKUWA NI MAJAMBAZI SIYO TRA BHANA
 6. fred mwakitundu

  Rais Magufuli: Shule na Shughuli zote kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020

  ASANTE RAIS MAANA KUNA HATARI WATOTO WENGI WASIRUDI MASHULENI KWA KUJAZWA MIMBA NA VISHOKA
 7. fred mwakitundu

  Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

  Wewe unayejiita "Mzalendo" wa kweli kama unaona nimeleta udaku kamuulize askofu Shoo atakwambia hilo andiko analo na linampasua kichwa kweli kweli kuliko wewe unavyofikiria,na kama unaona udaku subiri kama washarika wanatachanga hizo pesa walizoelekezwa na kanisa na wanatakiwa ziwe zimeshafika...
 8. fred mwakitundu

  Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

  Kwenye Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) moto unawaka kweli kweli na waliouwasha moto huo ni wachungaji wachache wanaomshutumu askofu wao Dk. Frederick Shoo kuwa anaongoza Dayosisi kidikiteta. Wameainisha mambo manne, moja wanahoji kukua kwa deni la chuo...
 9. fred mwakitundu

  Waliotafuna Milioni 57 KCMC hawa hapa

  Hospital ya rufaa ya KCMC imetoa majina ya wafanyakazi wakala wa Fahari CRDB na mtumishi mmoja wa hospital hiyo walioshiriki kuiba sh,Milioni 57 katika kipindi kifupi cha miezi miwli ya Desemba 2019 na Januari 2020. Kulingana na Barua ya KCMC kwenda CRDB makao makuu Jijini Dar es...
 10. fred mwakitundu

  COVID-19: Viwanda vya Samaki jijini Mwanza vyafungwa. Shughuli za Uvuvi zaathirika na wavuvi kupata hasara

  Bado hatujaanza kulia,hii Corona ikichanganya kweli kweli twafaaaa,unakufa ukijiona,maana ndani huna chakula,huna chochote hasa hizi kaya zetu maskini ambazo ili ule lazima uende sokoni ukauze na kununua. Kwa hiyo Mzee Baba hao samaki wako nenda Mwaroni Kirumba ukwauze reje reja vinginevyo...
 11. fred mwakitundu

  Kuna wizi mkubwa Hospitali ya Rufaa KCMC

  Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena. Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha...
 12. fred mwakitundu

  Nani kafufua ukabila Nchini?

  Askofu Gwajima na Usukuma Askofu Shoo na Uchagga Tarehe 3.3.2020 Viongozi wa dini wawili hapa nchini wamekata mawimbi ya anga kwa jambo linalofanana. Askofu Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima lililopo Dar es salaam, alihojiwa na polisi kwa kusambaza vipeperushi vyenye lugha ya kisukuma...
 13. fred mwakitundu

  CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

  Hata hao wanaotoa uamuzi wanajua nguvu ya hao wazee ni shidaaaa,muda utasema wacha tusubiri
Top Bottom