Habarii great thinkers,
Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
Mtoa mada kinachokusumbua ni wivu, umaskini na njaa, hata kama umepishana kauli na mtu aina haja ya kuanika taarifa zake binafsi mitandaoni, na inaonekana you know him very well yaani ulichokifanya hapa ni whistleblowing. investigation itaanza kufanyik as soon as TAKUKURU wakipata hii taarifa...
Kaka umenena vyema sana watu wasioweza kudadavua mambo Kwa mapana awawezi elewa hili, TRA awatungi Sheria Bali wanasimamia Sheria zilizowekwa na bunge katika ukusanyaji wa mapato Kwa Io wanachokifanya ni kile ambacho Sheria imeelekeza lakin jumba bovu wanaangushiwa wao. Wananchi wanahitaji...
Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Yan kwa utumishi kama haufaulu saili zao we unahesabika ni kilaza tu hata kama umesoma Harvard alaf chuo akimfanyi mtu awe competent, being competent it's just the matter of your own intelligence.
Guys tusipotoshane japo utumishi kuna urasimu mwingi lkn mchakato wao sa sahili upo 90% fair. Taasisi zikianza kuajiri zenyew hizo ajira tutazisikia kweny bomba
Ukweli ni Kwamba kupata kaz UT,PT,TPDF, PCCB kwa zama hiz kama huna connection aka mbanga ni ndoto Kam za alinacha, ni Bora uwekeze nguvu Utumishi kule amna upendeleo wat wanapat kaz bila mbanga ni uwez wako tu
Sure halazimiki kuandaa statements. Lakin hao presumptive tax payers schedule imewa categorize kwenye makundi mawili wanao keep records na wasio keep records
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.