Recent content by Fratern

  1. F

    Chuo Cha Hubert Kairuki, Kufanya Convocation ya Kwanza na Graduation ya 16. Kutangazwa Live kwa Video Streaming.

    Uwiano kati ya mwalimu-na-mwanafunzi unazingatiwa kutokana na taratibu zilizowekwe na Tume ya Vyuo Vikuu (Tanzania Commission for Universites - TCU). Kuwa, chuo kabla hakijapewa ruhusa ya kudahili wanafunzi, lazima kiwasilishe idadi ya walimu waliopo na kwa fani ya Udaktari wanaangalia idadi ya...
  2. F

    Daraja la Kigamboni limeshajengwa

    Hata hivyo, mradi wa kujenga daraja la Kigamboni ni mzuri sana mathalani pale mtu unapofanya tathmini yake kiuchumi na kwa jamii nzima ya watu ambao shughuli zao za kimaendeleo kwa siku hazikamiliki, au ni sawa na ndoto za alinacha wasipopanda feri kuvuka upande mmoja kwenda mwingine. Lakini...
  3. F

    Daraja la Kigamboni limeshajengwa

    Mjini shule... 'and the fact of this story is dependent on excussive fact that if you can't make it fake it.' At least to threaten your competitors, although ethically, this is WRONG and not a big-lie!
  4. F

    Hivi unafiki, umbea na kuharibiana ndoa ni hulka ya watu weusi?

    Ndugu, kumbuka 'An iddle mind is the workshop of the devil!' Hivyo basi, umbea na masengenyo ni hulka ya mtu na hii inajitokeza tu pale unapokuta mtu hana kitu cha kufanya. Lakini hata hivyo, ninaposema ni hulka, sio tu kwa wale ambao hawana kazi, hata wale walioko makazini, nimeshuhudia, wat...
  5. F

    Bunge Lakatizwa Ghafla!

    'Kipya kinyemi ingali kidonda.' Hiki ndicho kilichotokea. Tanzania hatuna utamaduni wa matayarisho makini kabla ya shuguli zetu - say preparedness and constant surveilance. Na sio hili tu, hata kwa watangazaji wetu wa habari, inaonekana swala la kuzingatia sheria stahiki za mawasiliano nazo...
  6. F

    Ujenzi Jiji la Dar unafuata Master City Plan?

    Kama zilivyosera nyingine hapa nchini, ramani za mipango miji mfano wa jiji la Dar es Salaam bado ni ileile tuliyorithi kutoka kwa mkoloni na tatizo letu kubwa ni ukosefu wa utashi wa kisiasa wa kuboresha mipango miji yetu. Utashi wa kisiasa ungelikuwepo kama uliveyoweka kwenye michezo mh!! 'of...
  7. F

    Tufichue sasa ufisadi kanisani

    Ufisadi kama ilivyo dhambi nyingine yeyote ile hauna macho na hauchague pa kwenda ila 'njaa' zetu, mathalani, za viongozi wetu wa dini ndizo zinazotupeleka au kuwapeleka wachungaji wetu kwenye mkanganyiko huu. Huu mkanganyiko unatokana na makanisa yetu kupoteza mwelekeo, mathalani kutoka...
  8. F

  9. F

  10. F

    Tanzania: Nini tatizo letu kama Taifa? Tunajikwamuaje?

    Sawa, nakubaliana na wachangia mada waliotangulia kuwa, "Tatizo la Tanzania kama Taifa au nchi ni ukosefu wa Elimu." Sawa, lakini swali msingi tunalopaswa kujiuliza ni elimu ya namna gani tunayohitaji? Ukweli ni kwamba elimu inayotolewa Tanzania na Dunia ambayo tunayoishi ni vitu viwili...
Back
Top Bottom