Wanafikilia jina hutafutwa na maneno ,,,sisi tukinunua chakula wanaona ni as if wanatusaidia...vile watz wa hapa hujifeel ni kama kwao ni ulaya jameni...na ni hapa to JF,,,niko na mabeshte wa Tz madereva ukiwauliza kuhusu Barabara zao utashangaa to wako Karne gani