Recent content by frank nyantu2

  1. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    Kwa hiyo kuweka Picha ya makonda ndio anahusika au hamjui kuwa kufanya hivyo tunamwingiza Mr Melo kwenye matatizo?? Tuwe makini kwa sasa mitandao inafuatiliwa sana ndg zangu! Najua nitatukanwa kwa ushauri wangu kwa kuwa Mimi sijui ninacho kifanya;
  2. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache Unafiki, mauaji na vitisho nchi hii ni ya muda mrefu, Magufuli hajahusika!

    Hili suala la usalama ni mtambuka kwa sasa na ni vema tunapojadiri kujeruhiwa kwa TL tusisahau kujadiri na wengine waliopoteza maisha na kupotea Kafka mazingira tata mf BS na watu zaidi ya 30 waliouawa kule kibiti na hata walionusurika baada ya kutekwa na watu wanaojiita wasiojulikana Sent...
  3. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sielewi kwanini Ngeleja hajakamatwa na Polisi

    Mi nadhani ni vema serikali iendelee kuhamasisha hata akina vijisenti na hela ya mboga warudishe ili vidhibiti viwe vya kutosha ili iwe rahisi kuwatia hatiani na hela zetu tayari zisharudi Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  4. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Sieleli *kabisa*
  5. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    Uchokozi mubashara
  6. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa kelele hapo umenena! Kwani Mimi nakitumia kama kicho cha jamaa cha lake gas ila mbona hakusumbui kama yy anavyodai? Tena habari ya mkaa nimeishaachana nayo kabisa; Nimepunguza gharama ya matumizi kwa 60% kwani natumia hadi siku 40 kwa mapishi yote...
  7. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akiwa ndani ya madaraka hawezi kuipinga katiba wala kukipinga tena chama tawala?

    Laxima uzingatie viapo!! Sitatoa siri za serikali kwa namna yoyote! Kwa hiyo hiki ndio kifungo chao
  8. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Mwanakijiji juu ya Escrow baada ya wahusika kukamatwa

    Ki vyovyote wansjua ni za nini! Utetezi wao ni laini sana! Imagine jamaa anakuijia nakuambia njoo nikupe zawadi ya millioni mia! [emoji3] [emoji3] [emoji3] lazima upagawe ikibidi utagoma tu
  9. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Bridal Fashion Week

    Hahahaha! Msambwandaaaaaa!!!!
  10. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Ni vitambaa gani bora vinavyotumika kushonea nguo,mathalani suti za kisasa?

    Hii post mbona imepoa sana???? Wabongo nouma!
  11. frank nyantu2

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Hayo hata mimi sijayajua
Back
Top Bottom