Kwa mwendo huu reli ile itajengwa kweli ?
Mbona cha kawaida sana?Hahahaha, mkuu itanchukua muda gani kujua kingereza hiki nikiamua kujifunza...???
Yafaa akamatwe haraka ili magufuli aonyeshe kuwa sio maigizo na Sinema zake.Nadhani watamkamata Ijumaa ili alale mpaka Jtatu
Two ways to cut this.
Ngeleja could easily spin that he did not return the money out of any concern for criminal involvement, but out of pure ethics, seeing that the matter is now under the court of law, it was important for him to clear himself far and above any legal requirements.
He kinda hinted at that.
On the other hand, questioning him at least to find out what was the money for would have been in order on the part of TAKUKURU/ Police.
One doesn't just hand 40 million bobs out of ones kindness of heart, especially if one is a businessman of Mr. Rugemalira's reputation.
Dude used to come home, talking to mshua, way back in the days.
Then I wasn't seeing him around. So I asked mshua, what's up, your man ain't poppin here no more.
He was like, the fella was only looking out for his business interests and he thought he could charm his way and bribe me, when I said no, he had no further reason to continue our "friendship".
SoI have personal revelations about his style since the early nineties in the reign of Mwinyi..
ngoja nikukumbushe kidogo kuhusu hizi pesa.
Zilikuwa ni kwa ajili ya kulipa umeme ulionunuliwa toka IPTL.
Ziliwekwa mfuko wa escrow bank kuu baada ya wanahisa wawili IPTL na Vip kuwa na mgogoro baada ya Ruge kuhisi anataka kudhulumika gawio lake kwani yeye kama mwanahisa aliechangia ardhi nae alikuwa na haki ya kulipwa,VIP alifungua kesi mahakamani sasa ikaamuliwa zile pesa anazolipa Tanesco zitunzwe na mtu wa tatu kwa maana ya bank kuu hadi hawa jamaa watakapoelewana ndo wachukue hela yao.
Hatimae wakaelewana VIP akafuta kesi na hivyo wakadai pesa yao na kulipwa bilioni 360 kama sikosei,
Ruge akagawiwa kama bilioni 90 za ushee kama gawio lake.
Sijui nini kilimtokea Ruge,labda alichachawa na mahela kwani mhindi alikuwa kampayoff na kubaki na hisa zote,VIP akawa kajitoa.
Ruge akawakumbuka ndugu na jamaa,kumbuka alikuwa hajawahi kukamata kitita kirefu cha pesa kama hicho,akaanza kuzigawa kiasi kwa ndugu,jamaa,marafiki,viongozi wa dini na baadhi ya viongozi kama kina ngeleje,tibaijuka,chenge ,etc.
Likaja kusanuka na ikaonekana kama vile katoa rushwa ama mgawo,
sasa utajiuliza Ruge alikuwa akiwapa maaskofu rushwa ya nini ama gawio la pesa ya kuiba kwa sababu ipi hasa,
kama alikuwa anatakatisha pesa za wizi,
ni hapo sasa inabidi tuprove mahakamani je hizo pesa ni chafu kweli ama ni siasa,
haya mambo hayataki mihemuko,mahakama ndo itaamua kama pesa chafu ama lah
My take:
Wenzetu hawa wamekosa maarifa kila siku wanaharibu na wasilolijua ni kuwa wanaharibu ili mpango wa Mungu utimie.
Maajabu ya siasa za Tanzania yanazidi maajabu yanayopatkana katika anga za juu!
Anyway,Bongo mradi tu kunakucha!!
He!lowasa naye karudidha hela za maufisadi yake?Mbona hajazungumzia kutokamatwa kwa Lowasa hadi sasa. Au ukiwa mwanachama wa cdm hutakiwi kukamatwa. Na anaishangaa hii kauli yake??
View attachment 539154
Ninachoona hapa Lowasa alienda kwao kuwahadaa na kulipiza kisasi chezea Masai weMbona hajazungumzia kutokamatwa kwa Lowasa hadi sasa. Au ukiwa mwanachama wa cdm hutakiwi kukamatwa. Na anaishangaa hii kauli yake??
View attachment 539154
Sio msimamo tu, me naendaga mbele kidogo nahc hata nanii huwa ni pungufu pia...
I kinda wonder the same too......
But, does that mean Lissu supports the president's efforts in the war against graft?
Nyani acha kujifanya mmarekani wewe ni mmatumbi tuI kinda wonder the same too......
But, does that mean Lissu supports the president's efforts in the war against graft?
Jitahidi unaweza kupewa Hata ujumbe wa nyumba kumiTeh teh....hilo nalo ni kweli.
Wapinzani wa Tanzania hawana msimamo kabisa.
Ni ngumu sana Kwa MTU mwenye akili timamu kupongeza maigizo.Time gonna tell. Lakini pia nishangae ya Lissu. Mbali na kutumia kiingereza kibovu kwenye tweeter yake pia sijafahamu kama kweli anadhamira ya dhati ya alichoki wonder. Tundu hajawahi hata kuonyesha kuunga mkono anachotenda Rais zaidi ya kupinga. Tundu hajawahi kuona kazi yoyote nzuri ya polisi au takukuru katika nchi hii. Leo anashangaa kwanini hawajamkamata Ngeleja! Sina uhakika iwapo asingeshangaa iwapo wangemkamata. Kwa kuwa kuna kila dalili kuwa Ngeleja atakuwa mikononi mwa dola siku zijazo, ni suala la muda na utunzaji tu wa kumbukumbu kuona ni nini huyu jamaa ataropoka kuhusu hilo!
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Jinai ina taratibu zake, kwanini usisubiri kijana?
au upande wa serikali washatangaza kwamba jalada limefungwa kwa wahusika wengne?
magoli yalikuwa yanahama kadri hoja zinapojibiwa,wacha kupotosha
hela ziliwekwq kabla hata mgogoro wa vip.
kuna mgogoro mwingine ulikuwapo kabla ya huo.
huo wa vip ulikujs baada ya sethi kitaka kuchukua zote peke yake bila vip.