Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,110
- 158,965
Huo uafrika uliojumlisha ni wa kwako na nani?Haha!, jamani nimefanya kujumlisha na Uafrika wetu tu..
Tehe, we mwache tu. Hajui kuna vikao vya siri tayari...lol
Huo uafrika uliojumlisha ni wa kwako na nani?Haha!, jamani nimefanya kujumlisha na Uafrika wetu tu..
Tehe, we mwache tu. Hajui kuna vikao vya siri tayari...lol
Taabu kweli kweli!!Acha tu, naona siku hizi hatuolewi bila mimba kwanza.
Ha haaaa kumbee hii nilikuwa sijainyakaHizo fupi bongo hazifai kwasababu wanawake wa huku wote wanaolewa wakiwa na mimba ya miezi 8
Haha mbona utamaduniHehe!, gaal, nimejumlisha tu mwaya rangi yetu hii tunavyokuwa na "Utamaduni wa Mwafrika"
NtawakemeaTutaombewa!! Shaurilo.
Supporting document muhimu tehKwa kweli, lazima kuna sehemu zinakuwa na "extra junk.."
Uh ghost!! Unyanyapaa huo!Hizo shape mimi ndo nizipendazo
Maana my dota na mie hatumo kabisa kwenye hiyo list!!Haha!, huishagi kunipasha!
Hope hiyo "sisi" mie simo ni wewe na hs!!Kwa kweli, kuthibitisha kuwa ndo sisi..
Hahaha miss Valdes...kwa modals bora niitwe tu mnyanyapaaUh ghost!! Unyanyapaa huo!
Haya bwana.Hahaha miss Valdes...kwa modals bora niitwe tu mnyanyapaa
Jamani jamani!!!
Ndio mmeamua kuwa siku hizi hamuoi hadi muhakikishe?
Hahahaha! Msambwandaaaaaa!!!!Teh!, hawa watu wakati mwingine akili zao sijui huwa zinawaza nini.
Akina sisi tuvae hivyo na tulivyo na misambwanda sijui kama kwenye harusi patakalika.