Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Mkuu ushafanikisha?
Sijafanikiwa mkuu mtungi una gesi ya kutosha lakini nikifungua koki kale kamlio cha gesi cha shiiiiii sikasiki nahisi hii valve imeziba labda
 
Ila hizo sendo zako ziko powa sana mkuu
 
Kumbuka pia mtungi wa gasi ukijazwa kupita kiasi hiyo gasi haitowaka
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
huyu mkuu leo lazima alale njaa,kuna chaka na mimi nilikakuta hako kajiko hakika jasho zilinitoka,bila tu ku`meki kol mjini ilikuwa naangukia pua,tujiko twa kipuuzi sana huto,afu tuna makelele
kwa kelele hapo umenena! Kwani Mimi nakitumia kama kicho cha jamaa cha lake gas ila mbona hakusumbui kama yy anavyodai? Tena habari ya mkaa nimeishaachana nayo kabisa;
Nimepunguza gharama ya matumizi kwa 60% kwani natumia hadi siku 40 kwa mapishi yote!! Zamani mkaa nilikuwa natumia mkaa hadi tshs 50,000/= kwa mwezi
 
Aiseeeeh Pole.
Siyo wewe kweli ulikuwa unabeba upinde na panga kule ntwara kuwa hakuna gesi kwenda Dar es salaam!?

Haya matokeo ndiyo Kama hayo sasa unaadhibiwa na kijiko kidogooo.

Rudisha , kwa aliyekuuzia ama mahala ulipojaza gasi inawezekana pana shida au hawajajaza chochote humo kwenye kimtungi hicho walichokugeia
 
Bado hakijawaka tu? Hicho kidude cha kufungulia gas kufungia kwenye hicho kidude unachoshika wakati wa kuzungusha angalia kama kimelegea
 
Pia unaweza kujaribu kuzibua hiyo valve kwa kuchemsha na maji safi kisha kikaushe.
 
Kwa usalama wako katupe hako kwa burner au kauze chuma chakavu na ununue kapya...kinyume cha hapo uta angamiza nyumba ya watu na wapangaji wenzako.
 
Mkuu hivi katikati ya vidole vyako vya miguu viliozea
kwenye majaruba ya mpunga??
au una fangasi sugu,
maana vinaonekana vina hali tete sijui hata
kama unaweza vaa viatu au ndala...

upload_2017-6-24_17-4-48.jpeg
 
Kama hujatumia muda mrefu hivyo vitobo vya hicho kivalve vinaziba kwa kutu...
Cha kufanya kanunua kivalve kingine..utakuja kunambia...
Mh,kumbe izo valvu wamezitengeeza ki ujanja ujanja,langu miezi miwili cjalitumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom