Ngoja nigoogle kwanza
poaMkuu ukipata majibu huko utumegee na hapa tafadhali
kuu asante kwa taarifa ila pia naomba kujua mafundi wazuri wa nguo za kiume kuna nguo nimeipenda natamani kuishona ila huwa naogopa sana kushona mana mafundi wetu aisee ni pasua kichwa sana naomba kama una fundi mzuri unaemfahamu yuko vzr kweli uniunganishe naevitambaa vya material za wool 100%ndo kali kwa kushonea suruali za kiume. Sema ni vitambaa bei. Ukienda maduka ya wahindi unapata.