Recent content by Frank ndenuka

  1. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Natamani kuchana vyeti!

    Nimecheka kama mazuri vile saiz naingalia hard copy angu ya CV imejaa had vumbi kwenye droo.. Inauma na inakatisha tamaa...mpaka nimezila...na mtaa mgumu...nilijua nipo peke angu daaah!!!!
  2. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

    Hapa kijitonyama hata haipunzik inapiga mda wote
  3. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Nina bajeti ya laki 5-6 nahitaji smartphone nzuri

    Watu sio waelewa kabisa..wamekwambia soma comments
  4. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Ajuae bei ya mashine ya kusaga nafaka

    Mtu anaomba ushaur ww unaleta utan sasa huyo Waziristan ndio nan na hyo shamana ndio mdudu gan watoto wa 95' kaz kwelkwel
  5. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za vifo tunavyokumbana navyo wanadamu huwa zinanifikirisha sana!

    Duu ulishuhudiA vifo vingi... Au vingine hadithi mkuu .. Ngoja wenyewe waje
  6. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Hii hospitality ipo wapi.

    Hospital au hospitality mwandishi
  7. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Daa majibu ya wadau yanachosha...muombe mungu maana yy ndio mwamuzi wa yote...
  8. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

    Hahaa ushakula buku saba basi unataka utusumbue huku au ajira hadi kwa kijani tatizo
  9. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Huyo dada wa uhuru kwa hyo usitegemee jipya
  10. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Mmh sioni jipya wanaogopa hawa
  11. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru raisi

    Hapa najiandaa kubeba mabegi angu kurudi mkoa ...nakumbuka tuu Maneno yako hakuna mwanafunzi ataekosa mkopo kama una Sifa lazima upate mkopo..leo imebaki story.. Mm binafsi siamin siasa hata siku moja... Ngoja nitafute maisha angu binafs lkn kuitegemea serikali kuhusu kusoma ni sawa na kuota...
  12. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Alihaid ye mwenyewe hamna mwenye Sifa atakaekwepa mkopo... Tunamkumbuka mkwele...kwel hapa kazi tuu... Na hii ndio maana ya siasa...inakera kwa kwel
  13. Frank ndenuka

    JamiiForums Tanzania Enzi za utoto

    zamani nilipokuwa mdogo hii ndio ilikuwa siraha yangu, kwa maana umbo langu lilikuwa dogo, so sikuweza kupigana. Ukinitibua tu nakupa maneno mpaka ukimbie (USICHUKIE) Amey Gat una bichwa kubwa mpaka ukitembea unafanya psss...psss ili wakupishe, na wewe Elza Sambu bibi yako mwongo mpaka alipokuwa...
Back
Top Bottom