Nina bajeti ya laki 5-6 nahitaji smartphone nzuri

Nina bajeti ya laki 5-6 nahitaji smartphone nzuri

Njoo pm nikuuzie iPhone 6 original, new brands na inakuwa complete kila kitu
Power bank,
Ear phones,
Extra battery,
Charger,
2 phones cover.

Ni pm haraka tufanye biashara.....
Wait a minute

Unanegotiate biashara Na marehem? Really?

S mshaaambiwa amefariki huyu mlikua walk all the time thread s ilikuepo kitambo humu? Jamani tunatia aibu
 
Wait a minute

Unanegotiate biashara Na marehem? Really?

S mshaaambiwa amefariki huyu mlikua walk all the time thread s ilikuepo kitambo humu? Jamani tunatia aibu
Hajafa watu wana maneno wakati kesha ni pm kitambo tushapatana bei kiari..

Usiamini unachokisikia
Amini kile unachokiona!!!

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
Mbona we muongo muongo kwa hiyo Ada ushalipa au....
 
Hajafa watu wana maneno wakati kesha ni pm kitambo tushapatana bei kiari..

Usiamini unachokisikia
Amini kile unachokiona!!!

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
Jamani mpaka tumefikia kuzushiana vifo how come? Ya kweli haya? Ndio maana Uzi mmeufuta
 
makaburini siku hizi mnatumia smart phone!! mkuu we si umekufa na watu wakachangisha michango hapa jf na RIP za kumwaga
 
Screenshot_2016-11-22-08-33-13.png
Screenshot_2016-11-22-08-33-13.png
Hajafa watu wana maneno wakati kesha ni pm kitambo tushapatana bei kiari..

Usiamini unachokisikia
Amini kile unachokiona!!!

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
acha uongo wew
last seen on saturday hiyo pm mnachati wote ulimwengu mwingine nini?
 
Njoo pm nikuuzie iPhone 6 original, new brands na inakuwa complete kila kitu
Power bank,
Ear phones,
Extra battery,
Charger,
2 phones cover.

Ni pm haraka tufanye biashara.....
Watu sio waelewa kabisa..wamekwambia soma comments
 
Njoo pm nikuuzie iPhone 6 original, new brands na inakuwa complete kila kitu
Power bank,
Ear phones,
Extra battery,
Charger,
2 phones cover.

Ni pm haraka tufanye biashara.....
Una upofu wa macho kwani? Hauno post hapo juu zinaonyesha jamaa amefariki
 
Una upofu wa macho kwani? Hauno post hapo juu zinaonyesha jamaa amefariki
Nipe uthibitisho kuwa mkuu..
Ameaga dunia nahitaji ushahidi
Una amini vipi maneno aliyoandika
Mwanadamu mwenzio
Nioneshe ushahidi nipate kuamini kuwa amekufa.

Usipendi kuamini unachokisikia,
Bali amini kile unachokiona....

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
Back
Top Bottom