Recent content by frank mtenga

  1. frank mtenga

    Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Historia yako ndio inasema hivyo au waliyoiandaa wao ndio inasema hivyo,m nimekuelewa ila nahisi wewe hujielewi,
  2. frank mtenga

    Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Tuna ujinga flan hv,mfano watu wa wili wakiwa wezi halafu baada ya mda yule mmoja akataka kuacha bc ataonekana mmbaya ila yule mmoja hawezi kuona au kutafakari kwa nn mwenzie anaacha,anakuwa blinded coz anaamini katika uovu tu,wazee walilazimishwa kihistoria kuwa watumwa ila nowadays tu watumwa...
  3. frank mtenga

    Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Karne ipi hiyo watu hawakujua kusoma n kuandika,kujifunza sio ujinga mda bado upo kajfunze ndgu
  4. frank mtenga

    Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Sio yetu ni ya kwao na wazee wetu walilazimishwa hivyo
  5. frank mtenga

    Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Historia ya mtu mweusi pia ile mito mi nne kwenye kitabu cha mwanzo iko Afrika i thnk ni pishoni,gihoni na wa tatu ni tigre au Hidekel kwa baadhi ya tafsiri nao pia ulikuwa Afrika,picha no 2,so ni vizuri tukajifunza historia yetu b4 watu weupe hawajaja Afrika na kuigawa kwa matakwa yao kwenye...
  6. frank mtenga

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    Kwasababu hawataki ukweli maana ukweli una asili ya kumweka mtu huru,so kiimani inawabana,
  7. frank mtenga

    Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

    Mje tabora jmni maziwa fresh lita mbili buku.hayo y bakhresa sio mazuri m nilikunywa siku moja wacha niendeshe kama mwana ndama aliye na siku tatu.
  8. frank mtenga

    Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

    Mmmh!!am just passng through.
  9. frank mtenga

    Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

    Pole mtoa maada.hata mm jambo hilo lilinitokea pande za moro.kuna jamaa ukimuangalia yuko nadhifu yaani anajiweza basi akaniaproach nikamjibu kistaarabu tu kuwa hayo mambo kwa mimi sio saizi yangu.lakini jamaa hakukata tamaa wiki moja baadae nikakutana nae town moro akaniomba namba ya simu...
  10. frank mtenga

    Hivi dada zetu mmekata tamaa ya kuolewa?

    Ni kushindwa kujitambua tu,ukiijua thamani yako si dhani kama utashndwa kujiheshmu.hata mungu alisema binadamu tunapotea kwa kukosa maarifa,
  11. frank mtenga

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Moro daladala zote zimepaki ni suzuki cary ndio zinabeba abiria.
Back
Top Bottom