Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,483
- 54,966
Wana mitego hao
Vip na nyie mnaonyoa viduku na kuvitilia dawa??? Vipi na nyie mnaovaa trouser zilizo bana makalio na mapaja? Mna toga adi masikio afu mnategemea kuoa mke anayevaa kiheshima? Anzeni kubadilika nyie kwanza
Waoaji wenyewe wako wapi..... msiaingizie vimini vyetu
i disagree mamii, waowaji wapo, ila mkijiweka kibandidu nao wanakuja kibandidu
chunguza tu utaniambia
mwanamme mwenye akili zake jhawezi fanya kama ulivyoorodhesha hapo juu,labda wewe umawapenda kama hao,ila nyie wote tu mwendo huo kama akivyosema muandishi wa mada.Vip na nyie mnaonyoa viduku na kuvitilia dawa??? Vipi na nyie mnaovaa trouser zilizo bana makalio na mapaja? Mna toga adi masikio afu mnategemea kuoa mke anayevaa kiheshima? Anzeni kubadilika nyie kwanza
mwanamme mwenye akili zake jhawezi fanya kama ulivyoorodhesha hapo juu,labda wewe umawapenda kama hao,ila nyie wote tu mwendo huo kama akivyosema muandishi wa mada.
Waoaji wenyewe wako wapi..... msiaingizie vimini vyetu
Waoaji wenyewe wako wapi..... msiaingizie vimini vyetu
Mmekosa hoja.
Na nyie mnavo vaa kata k inaonyesha waoaji au wakuolewa.
Huyo mke unaoa wewe au wanaoa ndugu zako??
mtuwache tupumue wenye kuamini kwenye ndoa oaneni acheni kelele.
tafuta mwanamke mjenge awe kama unavyoona ni sahihi kama kifua hicho huna nenda tafuta type yako!
hahahahaha, tupo bana
Anaoa yeye kwani vipi?