Natamani sana kupata watoto especially mapacha tena wawe mchanganyiko(kike/kiume) au wa kike pekee....ila sijui napataje....Mdada aliyeko tayari tufanye jambo basi☺️☺️☺
Ndio shida ya vyeo vya kupeana kisiasa...had wanapata watu wasio na credibility.
Unaweza kuta u-judge alipewa coz alikua anatolewa kwenye nafasi aliyopo ili kumpisha mwingne na hakukuwa na sehem ya kumpeleka lkn akapewa tu km kumpoza.Wengi sana wamepewa u-judge kwa design hyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.