Kwa kilichonitokea madalali wa kibongo wana tamaa sana

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,758
2,380
Nlikuwa natafuta kagari kadogo kavits kwa ajili ya shuhuli za kaz kuzungusha oda mjini nikaweka bejeti nitafute kagari cc ndogo ili kanisaidie kusambaza oda zangu hata kigari cha 4.5 m sawa

Nikaona mtu anauza vitz 4.3 kwenda kuikagua injini safi ila miguu inagonga gonga ya kufanya service,nyuma ishawahi kugongwa ajali, exouse ya kubadilisha alafu gari namba B Dalali kakaza 4.3 m fixed

Nikamwambi kula 4 nikairekebishe Kwa 4.3 marekebisho nikitumia 1m au 800 ni saawa nimewapa 5m ambayo naweza pata gari ndogo isiyo navipengele nikitulia , wakagoma nikasepa zangu

Kesho yake nikaweka tangazo mwenyewe insta nikalilipia lisambae kuwa natafuta vitz bajeti 4.m isiyo na vipngele na sitaki dalali nikasisitiza kabisa sitaki DALALI nataka muuzaji halisi , tangazo likaruka siku 2 akatokea mtu ana kavitz namba c bado mbichi akataka 4.2 kwenda kuicheki iko njema nikamlilia akakubali 4.1 nikaibeba

Somo nalotoa hapa ukiona huwaelewi madalali weka tangazo lako mwenyewe online likukutanishe na wenye mali maana madalali wamekuwa vibaka, watu mjifunze namna ya kukutana na wauzaji mali Direct madalali wamekuwa wezi , unakuta gari inauzwa na dalali huyu mili 20 mwingine mili 25, yaani gari inauzwa 15 m mtu anaweka 10 m kama faida madalali ni nuksi
 
Kuna ndugu yeye alitaka kununua banda ( pagale) madalali wakataka 12M, akashindwa yeye alifika 10 wakakataa, akapewa mbinu na jamaa ampe kazi mtu amtafute mwenye nyumba mwenyewe, baada ya wiki akapatikana bei yake ni M7.5 akalipa chap....wale wapuuzi walivyojua mnunuzi ni yule walimaindi kinoma.
 
Nadhani warasimishwe, wapewe na certificate ya udalali na asiye nayo asifanye udalali maana hali ilivyo sasa kwenye haya magari used hata majina hayabadilishwi TRA pakitokea tatizo kwamba gari ilikuwa na shida ya jinai dalali haiwahusu, hawakujui, wanakukana kabisa au hawapokei simu kabisa, inabidi kutumia nguvu ya ziada kumpata mmiliki.
 
Back
Top Bottom