Maafa kweli yatatokea maana polisi hawawezi vumilia uvamizi wa bavicha kwenye mkutano usiowahusu.
Mlishapewa ushauri na nyinyi andaeni mkutano wa ndani sikuhiyo na muufanyie mkoa au wilaya nyingne, mwaweza kwenda, nzega, igunga, rombo, temeke ubungo, manyoni, au mbeya au kwingene popote lkn si...