Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

Makanisa yanasajiliwa kama taasisi. Ili usajili kama taasisi ni lazima ufuate na kuzingatia vigezo na masharti likiwemo sharti la kuwa na bodi ya wadhamini. Kimsingi hakuna kanisa la mtu mmoja.

Kaka ...
nenda kwa lakatware au mwingira uone kama kuna kutangaziwa kuwa sadaka ya last week ilifanyiwa nn na imekwenda wapi. hiyo inaamanisha kuwa ni ya mtu mmoja na hajibu kwa mtu yyte na ndio maana hana muda wa kuwaambia jinsi alivyotumia hela zenu
 
watu wengi hufikiri ukitoa sadaka kanisan ndio unabarikiwa sana,
Mm huwa naona sadaka nzuri ni ile unayotoa kuwasaudia watu weny shida mbala mbali.
Hebu jiulize. Umemuacha jirani yako hana chakula halafu umeenda kanisan kutoa. Hiv unafikiri Mungu atakuona?
Wachungaji wengi siku hiz wababaishaji tu, mahubir yao mengi ni kutoa sadaka na kuhubiri utajiri. Wengine km waganga wa kienyeji wanatabiri kbsa.
Ukiwaangalia weng wao wanapenda kupokea kuliko kutoa, ni wachache sana wanaowasaidia watu wao
Unafanya vyema. Naomba unioneshe mstari wa Biblia unaokufanya usitoe sadaka ila ufanye hayo. Bwana Yesu mwenyewe anasema uzeni mlivyonavyo mtoe sadaka.
 
Kuna lecturer wangu aliapa kutotoa fungu la 10 mpaka anakufa.

Ni noma.
 
wewe ndugu kabla huja fanya uamuzi wowote chukua Biblia ako soma MWANZO hadi UFUNUO utafunuliwa yakupasayo kufanya! kanisa haliwezi kuwa la Tz tu halafu mtu unasema unamwabudu Mungu wa Mbingu na dunia! pia AMRI za Mungu ni tabia ya Mungu, tafuta kanisa ambalo lina sifa hizi uende kusalimisha roho yako
1.Muongozo wake ni BIBLIA TU!
2.Ina hubiri AMRI za Mungu kama alivyo pewa Musa nabii, Kutoka 20:1-17.
3. Ina hubiri ujumbe wa malaika wa tatu (Ufunuo)
4.Iko dunia yote
5.Inafanya Ubatizo wa Biblia (kama alivyo batizwa Yesu)
6.Ina tunza Sabato ya Mungu ya siku ya saba.
7.Ina hubiri Biblia kama ilivyo bila kuongeza mapokeo ya wanadamu.

Ukipata kanisa hilo: UTABURUDIKA NAFSI YAKO nawe utakuwa salama mikononi mwa Kristo.
Sasa hivi hatuko kwenye sheria za Musa bali za Kristo.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
kweli kabisa wachungaji wengi ni wasanii tu wanataka sadaka ,mimi tokea 2010 niliacha kutoa sadaka najikusanya kila wiki naenda kutoa kwawazee wasiojiweza na mayatima
 
That's why i will remain a Roman Catholic for life!
Unamkuta pastor ana hummer complete with security detail (bodyguards) plus a helicopter wakati ata jengo la kanisa hana waumini mvua yao jua lao!
KWELI JAMANI???!!!!
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka m
 
toa mkuu ukianza kufatilia vifungu vya biblia vinavyozungumzia sadaka ni vi vingi unavyoambiwa utoe sadaka maneno yanatoka katika kitabu kitakatifu
 
Mchungaji ana gari hummer 3

Ana helicopter kisha bado anahimiza kutoa na wewe unatoa heri mkuu umesoma alama za nyakati
 
Toa fungu la kumi wewe, utabarikiwa!!!!

Je akiamua fungu la kumi kumpa masikini mwenye kuhitaji chakula, dawa au mavazi badala ya kupeleka kanisani ili mchungaji afanye matanuzi amekosea nini? Kwa nini upeleke fungu lako kanisani wakati jirani yako yuko mahututi na hana dawa ya kumtibu?
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema

Mkuu nakupongeza sana kwa kuanza kutumia akili yako vzr
 
Mkuu huwa unatoa sh ngapi kama sadaka kila uendapo kanisani? Ni vizuri kujiridhisha kwanza chanzo cha pesa ya kununulia magari hayo!!!
 
sadaka siyo lazima umpe mchungaji,kama kuna waumini wana hali duni ukawasaidia naamini mungu ataipokea sadaka,sio umpe mchungaji alafu ndio unaomna mara kannunua gari jipya sijui sijui kanunua bajaji,hiyo unayompa ni pesa,matumizi ya pesa c unayajuwa?
 
kanisa gani hilo sadaka kubwa kiasi hicho? watu hawatoagi sadaka kubwa kiasi cha kununua magari ya thamani kama hayo kwa muda mfupi. pesa za magari hayo labda ni msaada kutoka mahali au dili fulani limechezwa ila sidhani kuwa ni sadaka.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Kwani hiyo sadaka unamtolea nani? Mpe kaizari ya kaizari mengine achana nayo kwani umeshatimiza wajibu wako
 
Back
Top Bottom