IGP apata kigugumizi mkutano wa CCM

Kuna jambo baya sana linakuja. Kama wale Vijana 7000 wa UDOM nao wakatimiza adhima yao ya kwenda Dodoma kusaidiana na Bavicha kutoa ulinzi shirikishi (Polisi jamii) kwa polisi ili wazuie mkutano na polisi wakakataa msaada huo na kuamua kupambana na wanaowasaidia itakuwa hatari. Maafa makubwa yatatokea na ndio mwanzo wa Bisouda wa ICC kupata jambo la kuanzia nchini petu.
Wale vijana ni Bomu hatari kuliko la kujitoa muhanga
 
Kichwa majiiiii
Tuliwanbi
Huyu bwana hawezi kuwa hata mk wa mtaa
Mkampa nchi kwa nguvu na kwa kuiba kura
Sasa anajifunza uongozi akiwa madarakani
Kwa mara ya kwanza tanzania kunaweza kuibuka waasi
Hii inawezekana haswaaa kipindi hk
Mana siasa zisizo na maridhiano hutengeneza chuki makindi visasi uchochezi mwishowe waasi au vita za wenyew kwa wwnyew
Yanayoendelea kwa asadi yanataka kuja tz viongozi wa dini mpo kimyaaaa ngoja kinuke
 
Maafa kweli yatatokea maana polisi hawawezi vumilia uvamizi wa bavicha kwenye mkutano usiowahusu.

Mlishapewa ushauri na nyinyi andaeni mkutano wa ndani sikuhiyo na muufanyie mkoa au wilaya nyingne, mwaweza kwenda, nzega, igunga, rombo, temeke ubungo, manyoni, au mbeya au kwingene popote lkn si dodoma, vingevyo mtajutia maamuzi yenu.
 
Kichwa majiiiii
Tuliwanbi
Huyu bwana hawezi kuwa hata mk wa mtaa
Mkampa nchi kwa nguvu na kwa kuiba kura
Sasa anajifunza uongozi akiwa madarakani
Kwa mara ya kwanza tanzania kunaweza kuibuka waasi
Hii inawezekana haswaaa kipindi hk
Mana siasa zisizo na maridhiano hutengeneza chuki makindi visasi uchochezi mwishowe waasi au vita za wenyew kwa wwnyew
Yanayoendelea kwa asadi yanataka kuja tz viongozi wa dini mpo kimyaaaa ngoja kinuke
Uasi unaweza fanikiwa nchi nyingine lkn si hapa, kama unabisha uzia iadia yako hiyo watu kumi tu uone kama mtachukua hata dakika tano hamjawekwa chini ya ulinzi!
kwenye masuala ya usalama wa nchi usije jaribu cheza na nchi hii.
 
Duh, hao BAVICHA wanajitaftia kichapo kitukufu tu... Taasisi nyingi zinamilikiwa na tawala ikiwemo hio sasa mnategemea asemeje?
 
mmh nafikiri ni kazi rahis saana kutawala wadanganyika... tarehe 23 mkutano upo kama kawaida na graduu za CHASO zitaendelea kukatazwa.. sababu zinatungwa.
my take ni heri kufanya kazi kwa weledi kuliko kwa woga kulinda kitumbua chako.
 
Inabidi jeshi la polisi lifanye kazi kama talasisi isiyohegemela upande wowote. Dalili hizi ni mbaya kwa taifa letu
 
Kauli kama "naweza kuwa rais wa malaika huko mbinguni" ni kauli za mtu anayeamini hakuna zaidi yake ,in fact hizo huwa miongoni mwa kauli za madikteta wengi duniani.
 
Huo ni utani tu maana nadhani hawajui wakurya walivyo.Angejua akamuuliza mzee Butiku ndiye aliwahi kuwa mkuu kule au hata mzee warioba
 
BAVICHA mnahangaika sana. Mkutano wa CCM utafanyika maana ni kikao cha ndani si mkutano wa hadhara.
Mbona mikutano ya ndani imevunjwa na polisi kama ule wa ACT na mahafali ya wanafunzi wa CDM yaliyokuwa yakifanyika hotelini Dodoma na Moshi lakini CCM wao wamefanya mahafali ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wao bila shida huko na sasa wanakwenda kwenye mkutano mkuu?
 
BAVICHA mnahangaika sana. Mkutano wa CCM utafanyika maana ni kikao cha ndani si mkutano wa hadhara.
mimi si mwanachama wa chama chochote lakini hapa naona kuna tatizo,vyama vingine vikikusanyika hata kama ni kwenye ukumbi polisi wanawasambaratisha kwa washawasha na mabomu ya machozi mfano ni mahafali ya chaso haikuwa mikutano ya hadhara lakini polisi waliwatawanya,sijui ni nini hapa, sinema au polisi kazini au maagizo kutoka ngazi za juu.
 
Back
Top Bottom