nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
tuache siasa mtaani hali ni mbaya mno kiuchumi. labda uchumi umeimarika kwa watawala na watu wao. hali ni ngumu kuliko ya jana au juzi. siasa wekeni pembeni watanzania wenzangu.
Nenda jukwa la MMU huko...Unakuja huku unakurupuka eti uchumi umepanda....unaandika bila kuweka facts!Kama rai asiyependa kusikia manung'uniko
Labda huo uchumi unaokua uwe ni chura za wanawake nitakuelewa mana hizo mtaani zimeongezeka si mchezoUkweli uchumi unakua lakini tatizo ni kusambaza yale mafanikio kwa watu wengi .