Recent content by frajosmal

  1. F

    Biashara ya kuuza nyama nje ya nchi

    Mkuu naweza kupata contacts zako tuwasiliane?
  2. F

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Itapendeza zaidi hotuba za wagombea zikiambatanishwa pia kwenye uzi huu ili kuweka kumbukumbu ya kihistoria.
  3. F

    Natafuta muwekezaji wa kushirikiana naye kwenye biashara

    Idea yako ni nzuri sana ambayo naamini kila mtu angependa kupata genuine person wa kushirikiana naye kufanikisha malengo yake ili wote mfanikiwe. Sasa kutokana na uzuri wa wazo lako ili uweze kufanikiwa kwa urahisi, ni vema kuweka contacts zako ili kurahisisha mawasiliano kuliko kuitana PM. Mimi...
  4. F

    Natafuta soko la karafuu

    Unaweza kupata zaidi kama utapata soko au ni 500kg na ndiyo mwisho wa biashara?
  5. F

    Business opportunity (plumbing and stationary suppliers )

    Tunaweza kufanya biashara kama unamaanisha mkuu. Kila kitu kinapatikana na ni genuine products. Sio counterfate products. Tuwasiliane zaidi. Nipate kwa email frajosmal@yahoo.com Huenda hata vifaa vya umeme unaweza kuvihitaji. Asante mkuu.
  6. F

    Vyeti vimeokotwa...

    Unastahili baraka toka kwa Mungu, na kwa tendo hilo la uaminifu Mungu awe jawabu la mahitaji yako ktk maisha. Ukishapata baraka zake Mola, naomba ubadili na hilo jina lako lisije likawa kikwazo cha baraka zako kwa siku za usoni. Stay blessed.
  7. F

    Tazama tofauti kati yao na sisi

    Inawezekana kale kaugonjwa kalikomsumbua wakati wa kipindi cha uchaguzi majukwaani kana athari ya muda mrefu kiakili
  8. F

    Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    Mkuu,hii kitu ni zaidi ya kupoteza.Itamtesa sana kisaikolojia for the rest of his life,unless kama atatokea kiongozi mbovu zaidi yake jambo ambalo si rahisi kutokea tena katika historia ya nchi yetu. Kama atapatikana mbovu zaidi yake basi itakuwa nafuu yake kwani atafunika baadhi ya uozo mwingi...
  9. F

    Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    Hata wakati anaanza mbona hakuwa salama! Kwani umesahau matatizo yaliyokuwa yanampata nyakati za kampeni majukwaani?
  10. F

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Mkuu kuna tofauti kati ya Source na Sauce,hata nikiachia hapo nadhani utanielewa kwani wewe ni msomi ambaye unaweza kuwa umeghafilika au kwa kusudi ulijualo. Kamwe haitakuwa Tomato au Chili Source ni Tomato au Chili Sauce. Anyway nitaomba uwaelekeze na wengine waliokuwa wanaelewa kimakosa. Thank...
  11. F

    Breaking news:

    hahahaha, inawezekana tatizo liko upande wangu mkuu. Asante kwa ushirikiano mkuu.
  12. F

    Breaking news:

    mmmh! Mkuu, chukua dakika moja ya utulivu kisha soma tena uzi wako,huenda utarekebisha jinsi ya kuufikisha jamvini. Naona kuna utata kidogo kwa taarifa uloitoa. Jamaa ameijua na kutoroka? kisha anatafutwa na polisi? Ufafanuzi please!
  13. F

    Ajali mbaya sana: Mabasi ya Sabena na A.M. Dreamline yagongana uso kwa uso

    Msamehe tu bure,huenda tukio limemfanya akajikuta anarudia kuhesabu miili ya marehemu mara mbili mbili,japo kwa tofauti ya hesabu zenu inaonyesha alihesabu mwili mmoja mara tatu na akatahadharisha kuwa upo uwezekano wa idadi hiyo kuongezeka. Serikali sikivu imeshindwa kabisa kukabiliana na...
  14. F

    Engine ya Toyota landcruiser inahitajika

    Mkuu jaribu kuwa more specific ili usaidiwe. Information uliyoitoa haijitoshelezi. Toa hata specification za engine ya zamani unayotaka kui-replace ili hata kama mtu anacheck na dealers at least unakuwa na info za kukusupport. Kama utafunguka zaidi naamini utafanikiwa. Asante.
  15. F

    Please Natafuta products za The Quimi Romar Brands

    Wana produts nyingi mkuu,sasa unaweza kuwa more specific ili usaidiwe? Unahitaji kwa Units/Box 15, Boxes/pallet 60 au inakuwaje? Na unahitaji supplier wa kudumu kibiashara au ni kwa matumizi binafsi ya nyumbani? Funguka zaidi tufanye biashara mkuu.Asante.
Back
Top Bottom