Natafuta muwekezaji wa kushirikiana naye kwenye biashara

Samahani hii ni kama RE-POST maana niliwahi kuiweka mwaka jana.
Nashukuru Mungu nilipata mtu mmoja kupitia hii tukafanya wote kazi japo ilikuwa kwa muda mfupi,na aliniambia itakuwa ya 'Seasonal job' nami nikakubali.
Hopefully watakuwepo watu wapya pia humu.

Baada ya UTANGULIZI huo naomba nianze kilichonileta hapa!
Waungwana mimi natafuta mtu ambaye yuko tayari kwa uwekezaji katika biashara fulani/project fulani lakini hajapata mtu wa kusimamia ama anahitaji mtu wa ziada ili kuongeza nguvu/kuboresha...

Ni hivi, labda tuseme wewe hapo una Cash, Tsh 5,10,20,50,100 milioni na unataka ufanye biashara lakini hujapata mtu wa either kuisimamia ama mtu wa kukupa mawazo ya jinsi ya kuwekeza hizo hela na biashara fulani...please kama yupo huyu mtu naomba ANIPE MIMI HIYO NAFASI.

Mtaji wangu itakuwa ni Muda,wazo,nguvu,na Uaminifu! Halafu Boss yeye atai-finance project then tupange, nikae kama Business partner (tunafanya kazi, halafu tunakuja kugawana faida baada ya hesabu kukaa sawa kulingana na uwekezaji) ama niwe mwajiliwa (nilipwe mshahara kila mwezi).
Nasema hivyo kwa sababu kusema ukweli mimi sina mtaji wa FEDHA/PESA. Ndiyo maana naandika hivi...

WAZO LENYEWE LA BIASHARA;

I) KILIMO NA UFUGAJI;
Hii ni project ambayo najua kwa wajuzi wanajua kuwa inahitaji umakini kuifanya, kuisimamia, na kuwekeza vya kutosha ili kupata faida nzuri.
Hapa mwekezaji anaweza kuwa ana shamba la ekari za kutosha akaamua kuwekeza katika kilimo cha matunda na mazao mengine ya chakula kwa ajili ya biashara, wakati huo huo akifanya ufugaji wa kuku, nguruwe,bata nk.
Hii inahitaji muda wa kutosha na mtu atakayesimama kwenye project 24/7 bila kukosa ili kuhakikisha kila idara inashughulikiwa vya kutosha. Yaweza kuwa nje ya Dsm yaani mkoani ama pembezoni mwa mji wa Dar...

Nafasi yangu hapo:
~Mimi hapo nipo tayari kukaa kwenye project kama my daily commitment ili baada ya mavuno wote tufarahie na familia zifurahie uwekezaji kwa kupata chakula bora...hivyo nitakuwa na muda wa kutosha, nitakuwa mwaminifu na kufanya kazi.

II) RECREATION CENTER;
Hapa mwekezaji anaweza kuwa amejenga Bar, Lodge, ana Ukumbi wa sherehe, hapo hapo ana Car Parking,au Car Wash nakadhalika!
Hivi kwa ujumla vinahitaji usimamizi na ubunifu day to day ili biashara ikue na kutengeneza faida. Mara nyingi wawekezaji huwa hawana muda wa kutosha kukaa kwenye projects zao.

Nafasi yangu hapo:
~Nipo tayari kukaa kwenye eneo hilo ili kuweza kushughulika na kila jukumu ambalo nitakuwa nimepewa kama nilivyojipambanua hapo juu,wengine hupenda kuita Meneja.
~Kutafuta wahudumu wa kufiti kila eneo ili kuongeza ufanisi kwenye eneo la mradi husika.

III) BIASHARA YA DUKA/KUUZA DUKA;
Duka la bidhaa mchanganyiko (Mangi Shop),hardware,ama duka la nafaka na vyakula mbali mbali. Yote ni maduka!.
Hapa mwekezaji anaweza kuwa mwaka 2019/20 anaplan kufungua mojawapo ya Duka hilo. Lakini hajapata mtu ambaye atasimama kwenye uwekezaji wake kwa uaminifu na muda wa kutosha...Nipo tayari.
Kama nilivyosema, unaweza kuniajiri kwa malipo ya kila mwezi kama mshahara ama kwa makubaliano mengine tofauti.
~Kuna muda inahitaji kuweka mzigo mpya, kufuata mzigo mpya, kufanya stock, kuhakikisha kila bidhaa ipo eneo lake na inakuwa marked ili kukwepa kuisha muda wake ikiwa bado kwenye shelf.
Hayo yoote nayaweza kwa kuwekeza muda wangu, na nguvu zangu! Ni suala la kuaminiana kwa vigezo na masharti tutakayokuwa tumekubaliana.

IV) MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA NAFAKA;
Hii nayo ni project nzuri ambayo nimeona waliowekeza wakitengeneza faida kulingana na jinsi walivyowekeza.
Mwekezaji hapa ni kuwa na full equipments za kufanikisha zoezi (Mashine ya kusaga na kukoboa, mashine ya kushona viroba vya unga, gari ya ku supply products, nk).
Hapa ni suala la kupata mahindi na kupata soko la wateja kwa kuwatafuta.. Pia kuwekeza katika ubora na packaging pia, hii biashara ikisimamiwa na kufanywa kwa uaminifu inalipa..
Ni suala la Boss kujua ananiweka katika nafasi gani, Project Manager ama Business Partner.

V)KUFUNGUA MADUKA YA KUUZIA WATALII BIDHAA MBUGANI (CURIO SHOPS)
-Wazungu/watalii ni watu wanaopenda kununua bidhaa za Afrika hasa Tanzania kwa ajili ya kurudi nazo kwao baada ya kumaliza kula 'Bata' huko Mbugani.
Bidhaa kama vinyago vya kila aina,Printed T-Shirts zenye maneno ya kuhamasisha utalii ama kutaja baadhi ya maeneo ya kitalii Tz,kofia,picha za kuchora (Paintings &Tinga tinga) hizi 'Kacha' za kimasai n.k.
Hii project ukiwa na connection na wenye mamlaka porini ni biashara ambayo utapata faida si haba.

Nafasi Yangu hapo:
~Naweza kukaa dukani/eneo la mradi kama muuzaji kwa hao watalii
~Kufuata bidhaa Arusha,ama kwingineko vinakopatikana na kurudi na mzigo porini tayari kwa majukumu.
Pia unaweza kufungua mradi wa kusambaza matunda kwenye hizi Mobile Camps,ukipata connection ni biashara inalipa kwa uchunguzi wangu.

Kwa hayo machache ndo nimeona niandike na naona naweza kufit bila visingizio vya aina yoyote visivyo vya lazima...
Kama pia una Mradi ambao sijautaja hapo juu basi pia waweza kunifikiria,hiyo siyo limit kwangu.

KUHUSU MIMI:
Mimi ni kijana wa kiume miaka 31 sasa,ninaishi Dsm... Nina elimu ya sekondari tu,kwa sasa nipo Idle home sina permanent Job ila natafuta hicho nilichokiandika hapo juu...nina familia ya mtoto mmoja. Nimetumia jukwaa hili nikiamini lazima akawepo mtu akaniona tukafanya kazi.
Nipo tayari kufanya kazi Dar na popote Nchi hii.
Naomba niufunge mwaka huu na kuanza mwaka mpya kwa majukumu kama hayo hapo juu kupitia wewe!

Kama umeridhika na maelezo haya naomba tuwasiliane kupitia PM ili tuweze kuwasiliana zaidi nje ya Jf na kufahamiana zaidi.
Asante sana...

The Salt.
Sun,29 December 2019
Nitumie namba yako PM

Sent using Jamii Forums mobile ap
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Idea yako ni nzuri sana ambayo naamini kila mtu angependa kupata genuine person wa kushirikiana naye kufanikisha malengo yake ili wote mfanikiwe.
Sasa kutokana na uzuri wa wazo lako ili uweze kufanikiwa kwa urahisi, ni vema kuweka contacts zako ili kurahisisha mawasiliano kuliko kuitana PM. Mimi sijui ni wapi pa ku PM. Ila kama umeweka mawasiliano inasaidia kufikia lengo lako na kutopoteza fursa.
 
Sawasawa Kaka... Nimeshafanya marekebisho,na simu yangu ilikuwa na Mushkeli hivyo nikawa sina access ya Internet.

Bado nahitaji msaada sijafanikiwa bado.
 
Tatizo la wabongo ni moja tu.

UAMINIFU

Maneno mengi alafu hamuchelewi kutapeli
 
Samahani hii ni kama RE-POST maana niliwahi kuiweka mwaka jana.
Nashukuru Mungu nilipata mtu mmoja kupitia hii tukafanya wote kazi japo ilikuwa kwa muda mfupi,na aliniambia itakuwa ya 'Seasonal job' nami nikakubali.
Hopefully watakuwepo watu wapya pia humu.

Baada ya UTANGULIZI huo naomba nianze kilichonileta hapa!
Waungwana mimi natafuta mtu ambaye yuko tayari kwa uwekezaji katika biashara fulani/project fulani lakini hajapata mtu wa kusimamia ama anahitaji mtu wa ziada ili kuongeza nguvu/kuboresha...

Ni hivi, labda tuseme wewe hapo una Cash, Tsh 5,10,20,50,100 milioni na unataka ufanye biashara lakini hujapata mtu wa either kuisimamia ama mtu wa kukupa mawazo ya jinsi ya kuwekeza hizo hela na biashara fulani...please kama yupo huyu mtu naomba ANIPE MIMI HIYO NAFASI.

Mtaji wangu itakuwa ni Muda,wazo,nguvu,na Uaminifu! Halafu Boss yeye atai-finance project then tupange, nikae kama Business partner (tunafanya kazi, halafu tunakuja kugawana faida baada ya hesabu kukaa sawa kulingana na uwekezaji) ama niwe mwajiliwa (nilipwe mshahara kila mwezi).
Nasema hivyo kwa sababu kusema ukweli mimi sina mtaji wa FEDHA/PESA. Ndiyo maana naandika hivi...

WAZO LENYEWE LA BIASHARA;

I) KILIMO NA UFUGAJI;
Hii ni project ambayo najua kwa wajuzi wanajua kuwa inahitaji umakini kuifanya, kuisimamia, na kuwekeza vya kutosha ili kupata faida nzuri.
Hapa mwekezaji anaweza kuwa ana shamba la ekari za kutosha akaamua kuwekeza katika kilimo cha matunda na mazao mengine ya chakula kwa ajili ya biashara, wakati huo huo akifanya ufugaji wa kuku, nguruwe,bata nk.
Hii inahitaji muda wa kutosha na mtu atakayesimama kwenye project 24/7 bila kukosa ili kuhakikisha kila idara inashughulikiwa vya kutosha. Yaweza kuwa nje ya Dsm yaani mkoani ama pembezoni mwa mji wa Dar...

Nafasi yangu hapo:
~Mimi hapo nipo tayari kukaa kwenye project kama my daily commitment ili baada ya mavuno wote tufarahie na familia zifurahie uwekezaji kwa kupata chakula bora...hivyo nitakuwa na muda wa kutosha, nitakuwa mwaminifu na kufanya kazi.

II) RECREATION CENTER;
Hapa mwekezaji anaweza kuwa amejenga Bar, Lodge, ana Ukumbi wa sherehe, hapo hapo ana Car Parking,au Car Wash nakadhalika!
Hivi kwa ujumla vinahitaji usimamizi na ubunifu day to day ili biashara ikue na kutengeneza faida. Mara nyingi wawekezaji huwa hawana muda wa kutosha kukaa kwenye projects zao.

Nafasi yangu hapo:
~Nipo tayari kukaa kwenye eneo hilo ili kuweza kushughulika na kila jukumu ambalo nitakuwa nimepewa kama nilivyojipambanua hapo juu,wengine hupenda kuita Meneja.
~Kutafuta wahudumu wa kufiti kila eneo ili kuongeza ufanisi kwenye eneo la mradi husika.

III) BIASHARA YA DUKA/KUUZA DUKA;
Duka la bidhaa mchanganyiko (Mangi Shop),hardware,ama duka la nafaka na vyakula mbali mbali. Yote ni maduka!.
Hapa mwekezaji anaweza kuwa mwaka 2019/20 anaplan kufungua mojawapo ya Duka hilo. Lakini hajapata mtu ambaye atasimama kwenye uwekezaji wake kwa uaminifu na muda wa kutosha...Nipo tayari.
Kama nilivyosema, unaweza kuniajiri kwa malipo ya kila mwezi kama mshahara ama kwa makubaliano mengine tofauti.
~Kuna muda inahitaji kuweka mzigo mpya, kufuata mzigo mpya, kufanya stock, kuhakikisha kila bidhaa ipo eneo lake na inakuwa marked ili kukwepa kuisha muda wake ikiwa bado kwenye shelf.
Hayo yoote nayaweza kwa kuwekeza muda wangu, na nguvu zangu! Ni suala la kuaminiana kwa vigezo na masharti tutakayokuwa tumekubaliana.

IV) MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA NAFAKA;
Hii nayo ni project nzuri ambayo nimeona waliowekeza wakitengeneza faida kulingana na jinsi walivyowekeza.
Mwekezaji hapa ni kuwa na full equipments za kufanikisha zoezi (Mashine ya kusaga na kukoboa, mashine ya kushona viroba vya unga, gari ya ku supply products, nk).
Hapa ni suala la kupata mahindi na kupata soko la wateja kwa kuwatafuta.. Pia kuwekeza katika ubora na packaging pia, hii biashara ikisimamiwa na kufanywa kwa uaminifu inalipa..
Ni suala la Boss kujua ananiweka katika nafasi gani, Project Manager ama Business Partner.

V)KUFUNGUA MADUKA YA KUUZIA WATALII BIDHAA MBUGANI (CURIO SHOPS)
-Wazungu/watalii ni watu wanaopenda kununua bidhaa za Afrika hasa Tanzania kwa ajili ya kurudi nazo kwao baada ya kumaliza kula 'Bata' huko Mbugani.
Bidhaa kama vinyago vya kila aina,Printed T-Shirts zenye maneno ya kuhamasisha utalii ama kutaja baadhi ya maeneo ya kitalii Tz,kofia,picha za kuchora (Paintings &Tinga tinga) hizi 'Kacha' za kimasai n.k.
Hii project ukiwa na connection na wenye mamlaka porini ni biashara ambayo utapata faida si haba.

Nafasi Yangu hapo:
~Naweza kukaa dukani/eneo la mradi kama muuzaji kwa hao watalii
~Kufuata bidhaa Arusha,ama kwingineko vinakopatikana na kurudi na mzigo porini tayari kwa majukumu.
Pia unaweza kufungua mradi wa kusambaza matunda kwenye hizi Mobile Camps,ukipata connection ni biashara inalipa kwa uchunguzi wangu.

Kwa hayo machache ndo nimeona niandike na naona naweza kufit bila visingizio vya aina yoyote visivyo vya lazima...
Kama pia una Mradi ambao sijautaja hapo juu basi pia waweza kunifikiria,hiyo siyo limit kwangu.

KUHUSU MIMI:
Mimi ni kijana wa kiume miaka 31 sasa,ninaishi Dsm... Nina elimu ya sekondari tu,kwa sasa nipo Idle home sina permanent Job ila natafuta hicho nilichokiandika hapo juu...nina familia ya mtoto mmoja. Nimetumia jukwaa hili nikiamini lazima akawepo mtu akaniona tukafanya kazi.
Nipo tayari kufanya kazi Dar na popote Nchi hii.

Kama umeridhika na maelezo haya naomba tuwasiliane kupitia namba hii 0673 031 235(Tigo) ili tuweze kuwasiliana zaidi nje ya Jf na kufahamiana zaidi.
Asante sana...

The Salt.
Sun,29 December 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo lako la shamba ni zuri, mie ninalo Vigwaza lakini muda wa kufuatilia mtaji na kuendeleza mradi sina. Kama uko tayari piga 0622303759. Kuna heka 300, maji ya kudumu na hatinkamili. Shamba linafaa kwa biashara mchangayiko mbogamboga (fruit and veggies), ufugaji wa kisasa (prime beef ng'ombe wa kunenepesha) na nafaka, Sehemu ya msitu inafaa ufugaji nyuki na kuvhomaf mkaa ebdekevu. Soko kubwa ni DSM na Znz.
 
Back
Top Bottom