Inawezekana kale kaugonjwa kalikomsumbua wakati wa kipindi cha uchaguzi majukwaani kana athari ya muda mrefu kiakiliLijitu liprofesor lakini halina tofauti na std vii
Inawezekana kale kaugonjwa kalikomsumbua wakati wa kipindi cha uchaguzi majukwaani kana athari ya muda mrefu kiakiliLijitu liprofesor lakini halina tofauti na std vii
Tumeishia kuichezea elimu kama mwanasesere ili iendane na matakwa ya wanasiasa! Endelea hivo mtoa mada kuna siku watakuelewa, maana ni kama kumpigia mbuzi gitaa!
lakini pia nahisi hata hisi siasa zetu zinatuharibu.
kama mwanafunzi wa chuo anayechukua masomo ya sayansi,role mode wake ni mwanasiasa wa chama tawala kama lusinde.unategemea nini hapo?.
Hata marekani kutwa kucha ni siasa za democrats na republican labda kama hufuatilii siasa za marekani.kila kitu lazima kifanyike hii ni changamoto kwa nchi zetu za afrika huu ndio mtazamo wangu katika hoja yako.
Lijitu liprofesor lakini halina tofauti na std vii
Mfumo wa elimu yetu sio rafiki kiasi chakumuandaa mtu kutumia kipaji na kuweza kuvumbua kitu, tunafundishwa kukariri kisha tunatukiwa vyeti, sera ya elimu ianatawaliwa/simamiwa/kutungwa na wanasiasa. ni kazi sana hatuwezi kufika huko hata kidogo tuendelee kuota tu.