Biashara ya kuuza nyama nje ya nchi

suleyman100

Member
Jan 19, 2013
43
7
Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Shida kubwa kwenye biashara za vyakula kutoka Tz na nchi nyingi za kiafrika ni UBORA na VIWANGO.

Jamaa wako makini sana kwenye viwango kuanzia matunzo ya mnyama,machinjio nk
Yaani hadi kupata kibali kutoka kwao kwamba unakidhi viwango kwa machinjio zetu inakua mtihani kweli.
 
Ubora ndo muhimu, hizi Ng'ombr zetu zinazo swagwa kutoka Morogoro hadi Iringa au kutoka Mwanza hadi Arusha hazina quality ya Ku export mkuu.
Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ubora ndo muhimu, hizi Ng'ombr zetu zinazo swagwa kutoka Morogoro hadi Iringa au kutoka Mwanza hadi Arusha hazina quality ya Ku export mkuu
Una uhakika na hili? Unatakiwa utoe sababu za kueleweka. Na vigezo vinatofautiana kulingana na nchi.
 
Acha ubishi, Ng'ombe wa Tanzania wengi hawana quality ya ku export,Kwa sababu tunalishana sisi unazania ndo unaweza export? shida mnakuwa wabishi na hakuna mancho jua zaidi ya ubishi.
Una uhakika na hili? Unatakiwa utoe sababu za kueleweka. Na vigezo vinatofautiana kulingana na nchi.
 
Acha ubishi, Ng'ombe wa Tanzania wengi hawana quality ya ku export,Kwa sababu tunalishana sisi unazania ndo unaweza export? shida mnakuwa wabishi na hakuna mancho jua zaidi ya ubishi
Mkuu ubora wanao sana tatizo ni ubora kwa maana ya kiafya zaidi, nchi nyingi za ulaya wanakua na complication sana kuanzia namna mfugo unavyofugwa kiafya hadi kuchinja na packing.

Kuna nchi kama uarabuni na china hawaagali sana hilo zaidi ya kujirisha kwa kumpima mnyama baada ya kumchinja.
 
Acha ubishi, Ng'ombe wa Tanzania wengi hawana quality ya ku export,Kwa sababu tunalishana sisi unazania ndo unaweza export? shida mnakuwa wabishi na hakuna mancho jua zaidi ya ubishi
Sijabisha juu ya ubora, nilichopinga ni sababu aliyotoa. Nafahamu ninachokizu gumza. Unajua vigezo vya kupeleka nyama nchi za umoja wa ulaya?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom