Recent content by foshizo manizo

  1. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kubeba unapoenda kulala kwa mwanaume Mara ya kwanza

    Na azingatie asiwe kwenye siku zake na kama yupo kwenye siku zake bora tu asije hili ni moja Kati ya mambo yanayotukera sana
  2. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe, atoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Kabisa sijui siku hizi watu akili zao wamemkabizi nani
  3. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe, atoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Baada ya kutoonekana kazini bila taarifa halafu hapo hapo wanadai hawajui alipo sio nyumbani wala kazini sasa kwa nini wasimtafute kwanza wakimuona ndio mambo mengine yaendelee pengine hawa majamaa wana jambo wanataka kuficha
  4. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Manyoni, Singida: Ajali yaua wafanyakazi watano wa Wizara ya Kilimo

    Sana waafrica tuna matatizo sana kisa tu wanajua police hawawachukulii hatua
  5. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Manyoni, Singida: Ajali yaua wafanyakazi watano wa Wizara ya Kilimo

    Poleni sana apumzike mahali pema peponi
  6. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Faida ya Kampuni ya Bia #Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16

    Ndio konyagi kiroba ilikuwepo na ilipendwa sana mkuu
  7. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Hahaha noma sana
  8. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Sana moshi ilikua moto sana kipindi hicho sijui siku hizi imepatwa na nn
  9. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Kweli kabisa mkuu
  10. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

    Sana huyu mzee anatoaga sana misaada kwamfano hapa kilimanjaro makanisa na mashule vimefaidi sana pesa zake kwa mfano kijijini kwetu kulikua na Harambe ya ujenzi wa kanisa jipya na yeye alialikwa kama mgeni rasmi unaambiwa alitoa mzigo mzito balaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania BAKWATA kuanzisha viwanda nchi nzima ili kukuza ajira

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. foshizo manizo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza daktari akamatwe baada ya wananchi kusimamisha msafara wake na kulalamika

    Ha kumbe nae ni mkurupukaji nilikua namwamini sana ila anataka kuniangusha
  13. foshizo manizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania wants kenya to pay kshs2.3 billion uchumi supermarket debt

    Tokea huyu jamaa aingie uwezo wa watanzania kufikiri umeshuka sana mpaka tunatia aibu
Back
Top Bottom