Huyu jamaa naye anajishushia heshima sasa! Hawezi kuiga kwa Lukuvi? Yaani unasikia fitina na wewe unakurupuka kuagiza mtu akamatwe? Umejiridhishaje kwamba hayo maelezo ya wananchi ni sahihi? Ni zahanati gani awamu hii zina madawa mpaka daktari aweze kuiba? Ujinga mtupu!! Mh. Lukuvi anazidi kuwadhirishia kuwa yeye ni akili kubwaaaaa!!!Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
Wananchi awamu hii yamekuwa hatari. Hawachelewi kukuharibia kazi ili wakucheke,,Ni upuuzi tu huo. hao wananchi wamejuaje huyo daktari anaiba dawa? Kwanza serikali inaweza kweli kuwathibitishia hao wananchi kuwa kwa dawa walizopeleka kituoni hapo hapatakiwi kuwepo upungufu wa dawa kabisa?
Nchi imejaa usanii mwingi. Je hiyo ndo njia ya kisheria kudeal na hizo issue?Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
Nimewahi kuona msafara wa waziri mkuu. Najiuliza kwa kasi yote ile ikitanguliwa na FFU, RPC,OCD wanazuiaje msafara?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
yule mkuu wa wilaya ya kwimba aliyepeleka watu kulima kwenye shamba ilikuajeHuyu jamaa naye anajishushia heshima sasa! Hawezi kuiga kwa Lukuvi? Yaani unasikia fitina na wewe unakurupuka kuagiza mtu akamatwe? Umejiridhishaje kwamba hayo maelezo ya wananchi ni sahihi? Ni zahanati gani awamu hii zina madawa mpaka daktari aweze kuiba? Ujinga mtupu!! Mh. Lukuvi anazidi kuwadhirishia kuwa yeye ni akili kubwaaaaa!!!
Ha kumbe nae ni mkurupukaji nilikua namwamini sana ila anataka kuniangusha
Dawa gani ameiba wakati hazipelekwi kabisa.
....Idara za kiuchunguzi hazina kazi tena..
Sawa we mkubwa,hivi si kuna registers zinazoonesha kiasi cha dawa kilichoingia na kutolewa(kutumika), je hao wananchi wana access kwa hizo taarifa au PM amejiridhisha kwa kuangalia hizo registers kisha kutoa hili agizo la daktari kukamatwa?Usipende kuongea kitu kama hauna data we mtoto. Dawa zilipelekwa toka mwaka jana na kugawiwa kila hospitali, tatizo hapa ni kwamba hawa madaktari uchwara walizoeshwa na utawala mchovu wa Kikwete kwamba ibeni tu fursa kwa kila mtanzania. Naona bado wana ile kasumba ya kijinga ya kupima huu utawala, hawajaisoma namba bado ila sasa ndiyo wataisoma vizuri. Piga vidole tu na sweka ndani wapuuzi kama hawa.
Wananchi wana ushahidi? Kwahiyo akitokea mtu akasema Majaliwa ameua watu milioni moja, ICC ikukamate? (police haina ubavu wa kukukamata), kirahisi hivyo?Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
Halafu kesho utaona lijitu na mtumbo wake linakimbilia kwa daktari huyo huyo linahitaji alihudumieHuku ni kumdhalilisha daktari bila kusikia upande wake, huu ndiyo tunaita udikteta
Atakua kajizuia mwenyeweNimewahi kuona msafara wa waziri mkuu. Najiuliza kwa kasi yote ile ikitanguliwa na FFU, RPC,OCD wanazuiaje msafara?