Recent content by Fortnox

  1. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Biashara 4 zenye Faida kubwa zaidi nchini Tanzania kwa sasa. Matajiri hawataki uzijue

    Uzi mzuri ila umesahau kuiweka microfinance business mimi nipo hii sekta na natumia mfumo wa usimamiz wa mikopo ambao nalipa 50k Kwa kila ofisi
  2. Fortnox

    JamiiForums Tanzania KERO Fedha za Kujikimu: Ajira mpya Uyui wale wa hospitali ya Wilaya wameandikiwa Tsh 925,000+, tuliopangiwa vijijini tumeandikiwa Tsh 600,000

    Wa mjini lazima wapewe nyingi vitu gharama na starehe kibao kijijini unaweza ukakaa Kwa mwenyekiti wa kijij
  3. Fortnox

    JamiiForums Tanzania BYD Da Han inaenda Kilometa 1,000 full charge, na ina efficiency ya 8.7 km/kWh. Yaani Kilometa 8.7 kwa unit 1 ya Umeme (Tsh 360)

    Hivi bongo gari za kuchaji zipo? Naona kama Kwa gari ndgo za misele zitaokoa sana gharama za mafuta
  4. Fortnox

    JamiiForums Tanzania TOYOTA RUNX IPO SOKONI

    Mbona haina kioo cha mbele
  5. Fortnox

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:55 safari inaanza hapa uelekeo DODOMA
  6. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimezidiwa na wateja karibu ya wananchi 500k hadi nashindwa kuwamudu na nina wasiwasi wakiongezeka wataniliza na viatu

    Amka ukakojoe aisee usije ukajikojolea kitandani maana hizi ndoto sometimes sio
  7. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Bro to bro

    When you have to shoot just shoot don't talk
  8. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Mapambano hayana umri unaweza anza 40 ukafanikiwa ukiwa 45 pia unaweza anza 20 ukaja fanikiwa 55
  9. Fortnox

    JamiiForums Tanzania The expensive million TSH debate kwaajili ya wanaojitafuta

    Locally tu unatafuta frem sehemu zilizochangamka kazi zinaanza ni bonge la mchongo huu
  10. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mkuu hapa ni watu wazima huwez sema Uzi ufutwe mtu akitaka jambo lake ni matakwa yake binafsi usijumuishe wote
  11. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Shape la KWENDA 🔥
  12. Fortnox

    JamiiForums Tanzania The expensive million TSH debate kwaajili ya wanaojitafuta

    Vibali kama unataka vyako ni gharama unatakiwa uwe na mill 20 kwenye akaunt yako na ukaeleze BOT umeipataje Kuna process kibao ila sisi tunaingia ubia na mtu alienacho kibali unatumia chake Kwa malipo mtayokubaliana
  13. Fortnox

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kazi na utu
  14. Fortnox

    JamiiForums Tanzania The expensive million TSH debate kwaajili ya wanaojitafuta

    Microfinance business a.k.a kausha damu. Hii biashara mwanzoni naambiwa niwekeze nikaona kama inatisha sana lakini nikajitosa aiseee unapata hela za chap saana cha muhimu hakikisha una vibali halali na utafute vijana wa kazi sio mabishoo
Back
Top Bottom