Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,643
- 18,668
Yaani wamenikera hatariiii, asa kulikua kuna ubaya gani ile si ni soga tu, hivi nani atakua ameuripoti mwanaume au mwanamkeee au woteeee🤣🤣🤣🤣Dr. Mariposa uzi wako mods wamepita nao 😹😹😹
Nilijua tu lazima wauripoti tulikuwa tunaenda kuzua taharuki..!!
Mods wangetuacha kidogo mpaka dada yeloo subahi afike kwanza vumbi litimke..!! 😹
Dada Subahi alikuwepo lazima anasoma kimya kimya