Makala imesheheni hoja nzito, nadharia sahihi na mifano dhahiri.
Ukweli mchungu ni kuwa, katika maeneo ya kazi, watu wenye sifa [uwezo] za uongozi, hasa barani Afrika, hupigwa vita sana; na hii ni sababu mojawapo ya umaskini wetu.
Wachache sana, wenye bahati, hushika nafasi za uongozi.